GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Lijinga likubwa wewe, ndio Sababu ulífeli Kidato Cha Nne ,
 
Angalia usije kuyakimbia haya maneno yako. Au kwakuwa hatuna silaha ndio mnatuchukulia poa? Inaonekana mnadhani tutakuwa waoga siku zote, ama tutakosa silaha muda wote.
 
Wewe ni kipofu na Kiziwi na pengine hata akili haziko sawa...

Maana kama huwa humwelewi Tundu Lissu mpaka leo, unataka nikueleze nini ili uelewe...?

Ushauri wangu ni huu👇

Kaa ktk ujinga wako, inakutosha hivyo hivyo...!
 
Angalia usije kuyakimbia haya maneno yako. Au kwakuwa hatuna silaha ndio mnatuchukulia poa? Inaonekana mnadhani tutakuwa waoga siku zote, ama tutakosa silaha muda wote.
Ukweli ni waoga haibadiliki
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Nyau wewe,kama lisu angetaka maslahi basi angepata hela ambayo ukoo wenu mzima hamjawahi pata na wala hamtapata mpaka mtapotea katika hii dunia, kunguni mmoja wewe!!
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Maneno mengi! Pointi hakuna. 🚮
 
Ngoja tuone kama mkiendelea kukomaza shingo nchi hii itatatawalika. Baada ya uchaguzi ndiyo mtajua zaidi picha ya watanzania. Mama Samia usidanganyike, usipounganisha taifa sasa hivi hutoweza kutawala nchi hii, kamwe hutoweza.
Maneno yenu hata kwenye kanga yapo tumeyazoea
 
Kumnyonga ni vigumu,kufanya uchaguzi haileti picha nzuri pia,ngoja tuone.
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom