GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapa TL alikuwa anapigania maslahi ya nani!?

"
Siku natamka kwa habari ya No, Reforms No Election haikuwa kosa,
Siku nasema hadi "kieleweke" haikuwa kosa, ni hadi pale niliposema "WANAIBA NA KUCHIMBA MAKAA YA MAWE AMBAYO KWA MIAKA YOTE HAKUNA MTANZANIA KAFAIDIKA NAYO KWA MIAKA 100 WATU WA ENEO HILO WAMEKUWA MASKINI ILA WAMEKALIA MAKAA YA MAWE AMBAYO KILA DAKIKA MAGARI KWA MALORI YANASAFIRISHA NJE YA MPAKA WA TANZANIA " Kumbe nilikuwa navuruga Ugali wa mapapa wa taifa hili " hao mapapa wa taifa hili, hao wahuni wa taifa hili" "
Ugali wa nani ?
 
Mbona hujataja maslahi binafsi ya Lisu. Reforms wewe huziihitaji? Zikipatikana reforms na mifumo Bora ya haki itakuwa ya Lisu au ya Tanzania. Ficha kidogo upumbavu wako
Reforms za nini ?
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Kama haujjavutaa bangi wewe basi akili zako hazikutoshi. Pole sana. Watawala waliojidhania kuwa wao ni miungu siku moja hawakuamini yaliyowakuta. Ni swala la muda tuu
 
Lisu baada ya kulipwa Stahiki zake za Ubunge ambazo ziliminywa uko nyuma !!

lkn Rais Samia Suluhu Hassan kwa Ubinadam wake kama tulivo sisi akaona hapana Lisu kaonewa kutokulipwa Stahiki zake za Ubunge !!

Rais wetu kafanya yaliondani ya uwezo wake kuakikisha Lisu analipwa Stahiki zake ambazo zipo Kisheria..!!

Lisu baada ya kulipwa kichwani mwake akadhani. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN dhaifu ndio asante yake!¿¿

kwaiyo Lisu akaja kudai tena malipo ya tangu yupo uko Ulaya kwenye tiba zake na kudai Eti anamdai Mama Abdul. !!

Ndio shuklan yake. Kwa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN !!

RAIS wetu aligoma kumlipa malipo yalionje ya Sheria zetu !!

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kaapa kulinda pia Rasilimali zetu !!

kwakuwa kanyimwa pesa za kinyume na Sheria Lisu ndio akaanza kubwabwaja ili kumfitinisha RAIS SAMIA SULUHU HASSAN na wananchi wake. !!

apo Majina ya Mzanzibar yakaanza ya mtanganyika tukasikia na mengine kibao. !!

Na vile pia kajua. Kwenye Uchaguzi watashindwa ni kama tayali washashindwa ndipo akaona agomee chama chake kushiriki
Uchaguzi !!!

Kelele zate Lisu bado yupo ndotoni kudhani RAIS SAMIA ni Dhaifu sasa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO Wa Tanzania anakuwaje Dhaifu kama sio kujitafutia matatizo. Leo anajidai Mkombozi !!!

Swali la kujiuliza Mkombozi gani mwenye kushirikiana na wakoloni

Mkoloni lini kawa mwema kwa mtu Mweusi !!!

uko Africa Magharibi wanapambana kuwafukuza wakoloni !!

Namm najiuliza Mkombozi gani mwenye Kitambi!!!
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Nitakuwa wa mwisho kuamini hayoo
 
Kwa upande wa Samia na wapinzani hayuko vizuri, alimkamata mbowe na kumweka mahabusu miezi 8 na kumfungulia kesi ya uwongo ya ughaidii. Leo mwenyekiti wa chadema Yuko ndani kwa kesi ya uwongo uhaini.Sioni huruma ya Samia kwa wapinzani hasa wa chadema
 
Hata Mbowe tuliambiwa anapigania watanzania,kakosa uenyekiti CHADEMA,kawa bubu!😁

Na mapigano yameishia hapo ana-hang na akina Madelu!

Akili mtu wangu!!
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.

Umeendika ukionesha makasiriko sana. Bila shaka kuungwa mkono aluko nako Lissu kunakulaza wewe na mama yenu mkiwa na viatu.

Subirini dawa iwaingue na akili isipowarudia ukimbizi au segerea havipo mbali nanyi.
 
Gwajima nayeye yupo ndotoni kama mwenzie Gwajima angekuwa mwenye maono makubwa jambo la kwanza angemuomba msamaha RAIS Sababu niyeye ndio kamchokoza tunajua.

GWAJIMA mtaji wake kwasasa ni Uchaguzi vile RAIS SAMIA SULUHU HASSAN anaiyaji kura. Lkn maoni yangu GWAJIMA

kipindi ichi ndio ayajenge na RAIS wetu uko mbele Chaguzi zikisha ndio GWAJIMA akumbuke kuomba msamaha naamini atakuwa kachelewa sana!!

RAIS ategemei kura za watu wa GWAJIMA !! CCM inamtajj mkubwa kumbuka ndugu

ndiomana nasema GWAJIMA shukaaa chini utubu kosa lako.

Tunakumbuka Askofu mzee wetu Kakobe alimwambiaga Rip JPM atubu zambi zake !!!

mwisho ni nani ndio alitubu zambi zake Kwenye macho yetu Ya Kibinadamu.

So GWAJIMA wanaokupenda tu ndio watakwambia kijana umekosea pale fanya haya maisha yaende. Onesha mshikamano wako sasa sio kesho

Kaka Gwajima wewe usidhani yule ni Mama Abdul. Hapana yule ndugu.

ni RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Ndio niyeye

vitabu vitukufu vinasema mamlaka utoka kwa Mungu..
 
Mkombozi kakumbatiwa na wakoloni!!! Picha ili Tamu. Ndugu zangu. Kazi kwake!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20250801-182948~2 (1).jpg
    Screenshot_20250801-182948~2 (1).jpg
    73.3 KB · Views: 19
  • sss.jpg
    sss.jpg
    141.4 KB · Views: 21
Lisu baada ya kulipwa Stahiki zake za Ubunge ambazo ziliminywa uko nyuma !!

lkn Rais Samia Suluhu Hassan kwa Ubinadam wake kama tulivo sisi akaona hapana Lisu kaonewa kutokulipwa Stahiki zake za Ubunge !!

Rais wetu kafanya yaliondani ya uwezo wake kuakikisha Lisu analipwa Stahiki zake ambazo zipo Kisheria..!!

Lisu baada ya kulipwa kichwani mwake akadhani. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN dhaifu ndio asante yake!¿¿

kwaiyo Lisu akaja kudai tena malipo ya tangu yupo uko Ulaya kwenye tiba zake na kudai Eti anamdai Mama Abdul. !!

Ndio shuklan yake. Kwa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN !!

RAIS wetu aligoma kumlipa malipo yalionje ya Sheria zetu !!

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kaapa kulinda pia Rasilimali zetu !!

kwakuwa kanyimwa pesa za kinyume na Sheria Lisu ndio akaanza kubwabwaja ili kumfitinisha RAIS SAMIA SULUHU HASSAN na wananchi wake. !!

apo Majina ya Mzanzibar yakaanza ya mtanganyika tukasikia na mengine kibao. !!

Na vile pia kajua. Kwenye Uchaguzi watashindwa ni kama tayali washashindwa ndipo akaona agomee chama chake kushiriki
Uchaguzi !!!

Kelele zate Lisu bado yupo ndotoni kudhani RAIS SAMIA ni Dhaifu sasa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO Wa Tanzania anakuwaje Dhaifu kama sio kujitafutia matatizo. Leo anajidai Mkombozi !!!

Swali la kujiuliza Mkombozi gani mwenye kushirikiana na wakoloni

Mkoloni lini kawa mwema kwa mtu Mweusi !!!

uko Africa Magharibi wanapambana kuwafukuza wakoloni !!

Namm najiuliza Mkombozi gani mwenye Kitambi!!!
Sina imani km mawazo haya yametoka kwenye kichwa mtu mzima au ni mawazo ya AI
 
Umesaau Mkuu ngoja Tukumbushane kumuusu uyo Mkombozi wenu mwenye kitambi !!

hoja jibu.? Lisu mwenyewe alidai kuwa anamdai pesa Mama Abdul wewe kwa uwelewa wako ni pesa gani mama Abdul alikopeshwa na Lisu ?

Tuanzie apo ili uwelewe kwann mleta. Mada katumia neno Lisu yupo kupigania mkate wake !!

na sio kukupigania ww Mdanganyika!!
Jibu kwanza hoja iliyopo: kwa maneno yale ya, Lissu anapigania maslahi ya nani hasa? Acha kuzunguka na kuleta hoja dhaifu zisizo na msingi."
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga
Ni nani anawapigania wa Tanzania
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Yupi kati ya yeye na ccm
 
Shida za watanzania ni maji , umeme , afya , amani na uhakika wa kula baasi , as long as CCM inafanikisha haya yeyte anayejiita mtetezi wa Watanzania ataishia pabaya tuu , no one cares , Watu wawe na njaa uone
 
Angalia usije kuyakimbia haya maneno yako. Au kwakuwa hatuna silaha ndio mnatuchukulia poa? Inaonekana mnadhani tutakuwa waoga siku zote, ama tutakosa silaha muda wote.
Mkuu kwani wakenya wana silaha ?
 
Back
Top Bottom