GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
The end will justify the means hata kama anapigania yake KAMA (na hapa keyword ni Kama) kupigania huko kunasaidia wengine....

Mbili mtu akishakuwa Mwanaharakati wala haitaji kulipwa wala asikasirike asipoungwa mkono sababu anachopigania inabidi kuwa reward (zawadi tosha)

Shida yangu mimi na Watu ni pale wanapoanza kulalamika kwamba kwanini mfano (Maandamano) watu hawaji na sijui watu waoga, sijui watu wanaangalia mipira peke yake (Hapo ndio tatizo kubwa, kila mtu should do their thing kwa utashi wao na kwa haki yao kama wananchi na binadamu bila kushurutisha wengine au baadhi kuwazuia wengine kufanya yao) IWAPO ufanyaji huo hauingilii au kuleta Shida kwa maisha ya wengine..
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.

Wewe unampigania nani...?
 
Unakumbuka matatizo ya

Buzwagi
Nyamongo nk?
Ulikuwa wapi wakati lisu anaawapigania wananchi wa huko? Au wewe ni wa 2000 na umenunua simu hivi karibuni?
Acheni kuharibu LEGACY za watu kwa ujinga wenu wa kutofuatilia mambo CHAWA
Humjui lisu wala hujui historia yake kwenye kupigania haki. Hambu fungal makalio yako ukalale
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Wewe una shida kubwa ya akili. Hakuna hata haja ya kukujibu wewe.
 
Kwa upande wa Samia na wapinzani hayuko vizuri, alimkamata mbowe na kumweka mahabusu miezi 8 na kumfungulia kesi ya uwongo ya ughaidii. Leo mwenyekiti wa chadema Yuko ndani kwa kesi ya uwongo uhaini.Sioni huruma ya Samia kwa wapinzani hasa wa chadema
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA niyeye ndio karuhusu Shughuli za Kisiasa Ziendelee RAIS tegemeo lake wanasiasa wafanye Siasa za kiungwana sio matusi kufitishana kutumia Udini Ukanda.

lkn pia ni RAIS SAMIA SULUHU HASSAN alifungulia vyombo vya Habari yani MEDIA

Lisu kile kafanya yeye ata angekuwa Lisu ndio RAIS jua angemkamata kiongoz yoyote mwenye kumfitinisha kwa Wananchi.

SABABU RAIS leo kesho utaenda kwa Wananchi kuomba kura sasa upinzani unapiga kelele ww sio Mtanganyika wewe Mzanzibar ndio Siasa ipo ivyo kweli.

Mwanasheria lkn anaisigina Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mbona wanasiasa wengine wanasimamia hoja sio kuwagawa Wananchi !!!

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwakemea wanasiasa wa mfano wa Lisu.
Lisu alipogombea 2020 mgombea mwenza wake jamani si pia alikuwa kutokea kisiwani !!

kwanini Lisu hasipinge 2020 na kuchagua kutokea Tanganyika ikiwa yeye sio mnafiki leo kawa mfitini sio
Mwanasiasa tena.

Mzee Mbowe kwasasa yupo free na wanaelewana na Rais wake sioni Sababu ya kumuongelea kwenye huu mgogoro.
 
Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.

Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.

Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?

Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu moja.

Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.

Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.

Mdude katekwa hakuna anayejali kuhusu Mdude huku mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba alipo Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
We poyoyo acha kubwabwaja kafanye mambo yako
 
Mbona hunajipa sifa ambazo sio zako lini watanzania walikuteua kua msemaji wao? Lini uliteuliwa kua msemeaji wa Watanzania? Wewe na huyo unaemsema mna utofauti gani?
 
Mjuba watu ni waoga ongeza na umasikini plus elimu ndogo
 
Bora uyo kuliko mdgo wangu anaeforce undugu na warabu
 
Back
Top Bottom