NAni anapigania Taifa?Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa TAL anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude kafa naye anayejali kuhusu Mdude hakuna mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Kama maslahi yake ndiyo pia maslahi ya wengine ndiyo akili yako ikukae sawa kuwa ndiko kupigania Taifa kwenyewe kulivyo.Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Nabii hakubaliki kwao.Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa anayejali kuhusu Mdude hakuna mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
Kama wewe huoni, basi haina shaka yoyote kuwa wewe ni kipofu...!Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake.
Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa.
Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata anachopigania, watu wasiojali yupo wapi ? anafanya nini ?anaishi mazingira gani ? anapitia shida au raha gani ?
Kwa ufupi ni kuwa sijaona mahali Watanzania wamemtuma Lissu awapiganie kuhusu shida zao hizi na hizi nachoona ni harakati zake binafsi zinagongesha maslahi yake na watawala sehemu.
Kumbuka hakuna mahali pagumu pa kufanya siasa za harakati kama Afrika tena katika nchi ya Tanzania.
Kama kuna watu wanafikiri kuwa Tundu Lissu anapigania Watanzania watu wasiotaka kupiganiwa na yoyote wao wapo busy na simba na yanga,diamond na zuchu watakuwa wanakosea sana.
Mdude katekwa anayejali kuhusu Mdude hakuna mkewe kaachiwa msimba mzito na mtoto mdogo asiyejua mahali Baba Watanzania tupo busy na sajili za Simba na Yanga.
chaguzi zetu.Za kuhusu nini ?
Kwani wewe uliposema maslahi ya Taifa ulimaanisha nini. Au hata hayo maslahi ya Taifa yenyewe huyajui?Maslahi ya wengine watu gani na yapi ?
Kipi utafanya mpaka nchi isitawalike ?Ngoja tuone kama mkiendelea kukomaza shingo nchi hii itatatawalika. Baada ya uchaguzi ndiyo mtajua zaidi picha ya watanzania. Mama Samia usidanganyike, usipounganisha taifa sasa hivi hutoweza kutawala nchi hii, kamwe hutoweza.
Yale usiyoweza kuyaona wewe..!!Wewe unaona nini ?