Lissu hatoshinda nafasi ya uenyekiti kwa sababu za usalama na nguvu ya Dola

Lissu hatoshinda nafasi ya uenyekiti kwa sababu za usalama na nguvu ya Dola

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano TLP chini ya Mrema Na CuF chini ya Mwenyekiti Prof Lipumba lakini havikuweza kitimiza azima ya chama cha siasa kwa sababu za kiusalama au uoga.

Tumeshuhudia Zanzibar Maalimu seif kila uchagizi (Kwa stori za kijiweni anaibuka kuwa mshindi) lakini kitokana na woga/hofu ya Maalimu inashindikana Kupata uhalali wa Serikali.

Dola inatambua Udhaifu wa Mbowe kwa Miaka yote wanautumia kuendelea kuwapumbaza Wanachadema lakini Ikiwa Chadema ikaamua kwenda na Lissu ina maana kuwa Dola inatakiwa kuongeza nguvu za ziada kupambana nae kwa nguvu zote.

Hivi ulishawahi kujiuza Kwanini Lissu alipigwa Risasi na kwanini asiwe Mbowe?

Lissu anamsimamo wa kweli ila anakosa busara lakini suala la busara kwenye haki halifai kutizamwa kwa jicho la 3,na ndiyo sababu ya vyama vengine kishindwa kutimiza lengo.

DOLA HAITAKUBALI LISSU KUWA MWENYEKITI ABADANI.
 
Miongo 4 iliyopita Tanzania imeshuhudia vyama vya siasa vyenye ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi,vikiongozwa na viongozi wasomi Mfano....
Atashinda maana wanajua kuwa Lisu ni makeke tu... hana tangible impact kwenye utawala wao! AS long as watu ni waoga, mimi na wewe tu maiti as put by Kenyatta, Lissu atashinda.
 
Back
Top Bottom