Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa watawala wanaohitaji maridhiano naye kuliko kitu chochote kwa wakati huu🥺🥺🥺🙇🏿♂Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video
Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa watawala wanaohitaji maridhiano naye kuliko kitu chochote kwa wakati huu
Kama akikaza fuvu tutegemee kweli ataenda jela miaka yote hii ilobaki ya awamu hii hilo liko wazi ingawaje kesi itakapoenda mahakama ya rufaa akaipokea yule jaji jasiri wa kipare Amiri Mruma inaweza kuwa vinginevyo
Ndivyo ilivyoUko sahihi kabisa.
Ndiyo ukweli huoKungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa watawala wanaohitaji maridhiano naye kuliko kitu chochote kwa wakati huu🥺🥺🥺🙇🏿♂
Mi ngumu Kwa upande wa jamuhuri kuthibitisha bila kuacha shaka.Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video
Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa watawala wanaohitaji maridhiano naye kuliko kitu chochote kwa wakati huu
Kama akikaza fuvu tutegemee kweli ataenda jela miaka yote hii ilobaki ya awamu hii hilo liko wazi ingawaje kesi itakapoenda mahakama ya rufaa akaipokea yule jaji jasiri wa kipare Amiri Mruma inaweza kuwa vinginevyo
Hii kesi kwa ktumia D moja tu utagundua kwamba ni Electronically programed, Mathematically calculated,Physicaly Datalized, Chemicaly reacting with complex reactants, Biologicaly functioning, Geographicaly located, Economicaly budgeted and Gramaticaly explained! Hapa ni kwamba hata jamaa atowe ushahidi na utetezi wa aina gani, Hukumu lazima itapita ila baada ya hukumu hatatumikia hiyo hukumu na badala yake project manager na mmalawi mkuu atatoa msamaha ule unaotolewa kwa wafungwa! Kwa mwendo huo jamaa hatokuwa na nguvu kisheria ya kudai fidia kwa kesi hiyo ya kutupiwa! Hii yote ni kukwepa kulipa fidia ila kesi ishaisha muda hata wao wamalawi wanajua!Kama sheria zetu zingefanya kazi kesi ingetupiliwa mbali pale tu mahakama ilivyokataa ushahidi wa ile video
Kungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa watawala wanaohitaji maridhiano naye kuliko kitu chochote kwa wakati huu
Kama akikaza fuvu tutegemee kweli ataenda jela miaka yote hii ilobaki ya awamu hii hilo liko wazi ingawaje kesi itakapoenda mahakama ya rufaa akaipokea yule jaji jasiri wa kipare Amiri Mruma inaweza kuwa vinginevyo
Huyu hawezi kukiri wala kupiga kwa watawala namuona siku hadi siku anazidi kuwa imaraKungekuwa hakuna tena kesi ya kujibu kwasababu kielelezo kikuu cha mashitaka kilikataliwa lakini sasa kinachoendelea ni hadaa tuu ili kumchelewesha aweze kukiri na kupiga magoti kwa watawala wanaohitaji maridhiano naye kuliko kitu chochote kwa wakati huu🥺🥺🥺🙇🏿♂
Kenge hasikii mpaka zimtoke damu masikioniKama makamo wa raisi wa Nchi anaweza kutendwa vile Basi mnaotegemea kwamba lissu ataipata haki Pasipo kufuata natakwa ya Bi-msumi mbajidanganya mchana kweupeeee
She's not fear anything, to bad enough Anajua watanzania ni waoga sana kama Makamo wa raisi kafanywa vile na wananchi tupo busy tuna kula ugali Pasipo kujali basi hata lissu atakapo nyongwa wananchi wataishia kulia tu mitandaoni na baada ya hapo tutakula ugali wetu kama kawa
Tanganyika kupata ukombozi Kwa Sasa ni uongo ni kujiongopea ccm ilifanikiwa sana kusimika mizizi yake vyema kwenye njia zao za madaraka na wakafanikiwa zaidi kuzalisha watu wengi wajinga kwenye Taifa hili ili wao wazidi kupenetrate
Kwakweli sioni nafasi ya hili Taifa kupata mabadiliko Naomba niwe mkweli