Lissu, Heche and the like, kazi yenu ni kubwa lakini sio ngumu

StudentTeacher

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2019
Posts
7,043
Reaction score
8,478
Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).

Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).

Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.

"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
 
Kwa mujibu wa Katiba, wanaosimamia haki ni mahakama, kikundi kingine kikiamua kusimamia haki ni kinavunja sheria na kinaweza kufanya ugaidi
 
Mahakama wanasimamia haki?!
Mara nyingi naiona mahakama ikihangaika na sheria tu.
 
Kuna mtu Jf last week nilimuuliza why wizara ya sheria kwa kingereza inaitwa ministry of justice?but why kwa Kiswahili iitwe wizara ya sheria?...hajanipa jibu hadi leo
 
Ukweli mchungu ni kua yeyote atakaeshika mamlaka atakengeuka, power hulevya ni asili ya kibinadamu.
 
Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).

Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).

Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.

"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja❗✔💪🏿
 
mkuu umeongea jambo kubwa sana. Ambao hawatokuelewa nawasikitikia.

",,, wenye haki ni majasiri kama simba"
 
Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).

Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).

Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.

"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
Lissu na wengine wanafurahi kbis hadi unaona kabisa Jamaa Yuko Happy.

Ni sawa na Sisi Walala Hoi, siku ukinunua Kuku Jogoo la Kienyeji unalipeleka Nyumbani watoto wale Ile feeling Yake moyoni we Acha tu
 
Bush dokta umepigilia msumari. Mifano ni mingi sana!🙏
 
Humlevya mwenye hila. Mtu mwenye nia njema watu hufurahi!

Mithali 29
2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
Unaweza anza na nia njema pia ukawa compromised, pia kama asilimia kubwa wasaidizi wako, washauri, wadau ni kirusi basi huna uwezo ya kurekebisha mfumo kama kansa imeenea kiasi hiko.

Hata huo mstari umesema wenye haki, umetumia wingi. Mfumo umeoza.
 
Kuna mabadiliko hayahitaji kundi la watu bali kichwa kimoja tu (cheche)
 
Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).

Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).

Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.

"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
mtu mwenye records za ujambazi au ufisadi hawezi kua na uhalali wa kusimamia haki gentleman 🐒
 
Unaweza anza na nia njema pia ukawa compromised, pia kama asilimia kubwa wasaidizi wako, washauri, wadau ni kirusi basi huna uwezo ya kurekebisha mfumo kama kansa imeenea kiasi hiko.

Hata huo mstari umesema wenye haki, umetumia wingi. Mfumo umeoza.
Ukiwa compromised maana yake wewe tangu Mwanzo uliingia kimtego. Ulikuwa vuguvugu.Hukuwa thabiti. Mtu thabiti hayumbishwi na UDHALIMU wowote mwanzo mwisho!.

Ingawa hata Mungu anahangaika sana kutafuta watu wa aina hii ili awatumie kutimiza kusudi lake maana ni adimu sana kupatikana!.

Wengi ni watu wenye nia mbili mbili. Kwa Shetani anakutaka na kwa Mungu anakutaka. Kwenye Ndoa watu wa aina hii huwa wanaitwa MBA= Married But Available😀

Ndio maana Lissu and the like wanastahili pongezi sana!
 
Back
Top Bottom