Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Kuna Kutenda haki.Kwa mujibu wa Katiba, wanaosimamia haki ni mahakama, kikundi kingine kikiamua kusimamia haki ni kinavunja sheria na kinaweza kufanya ugaidi
Kudai haki.
Kulinda haki.
Kusimamia haki itendeke.
Kulinda haki.
Mahakama haidai haki bali inasimamia haki itendeke.
Wengine wanafanya hivyo vingine kwenye suala la haki. Wakifanya hivyo hawatendi mambo ya ugaidi.