StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Mahakama wanasimamia haki?!Kwa mujibu wa Katiba, wanaosimamia haki ni mahakama, kikundi kingine kikiamua kusimamia haki ni kinavunja sheria na kinaweza kufanya ugaidi
Kuna mtu Jf last week nilimuuliza why wizara ya sheria kwa kingereza inaitwa ministry of justice?but why kwa Kiswahili iitwe wizara ya sheria?...hajanipa jibu hadi leoMahakama wanasimamia haki?!
Mara nyingi naiona mahakama ikihangaika na sheria tu.
"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja❗✔💪🏿Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).
Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).
Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.
"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
Kama Lema..Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.
mkuu umeongea jambo kubwa sana. Ambao hawatokuelewa nawasikitikia.Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).
Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).
Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.
"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
Kabisa ni kama Mtume Paul alivosema yy kufa katika kristo ni fahari.Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso.
NaamKabisa ni kama Mtume Paul alivosema yy kufa katika kristo ni fahari.
Lissu na wengine wanafurahi kbis hadi unaona kabisa Jamaa Yuko Happy.Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).
Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).
Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.
"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
Haki na Ugaidi wapi na wapi?Kwa mujibu wa Katiba, wanaosimamia haki ni mahakama, kikundi kingine kikiamua kusimamia haki ni kinavunja sheria na kinaweza kufanya ugaidi
Bush dokta umepigilia msumari. Mifano ni mingi sana!🙏Lissu na wengine wanafurahi kbis hadi unaona kabisa Jamaa Yuko Happy.
Ni sawa na Sisi Walala Hoi, siku ukinunua Kuku Jogoo la Kienyeji unalipeleka Nyumbani watoto wale Ile feeling Yake moyoni we Acha tu
Humlevya mwenye hila. Mtu mwenye nia njema watu hufurahi!Ukweli mchungu ni kua yeyote atakaeshika mamlaka atakengeuka, power hulevya ni asili ya kibinadamu.
Unaweza anza na nia njema pia ukawa compromised, pia kama asilimia kubwa wasaidizi wako, washauri, wadau ni kirusi basi huna uwezo ya kurekebisha mfumo kama kansa imeenea kiasi hiko.Humlevya mwenye hila. Mtu mwenye nia njema watu hufurahi!
Mithali 29
2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
Kuna mabadiliko hayahitaji kundi la watu bali kichwa kimoja tu (cheche)Unaweza anza na nia njema pia ukawa compromised, pia kama asilimia kubwa wasaidizi wako, washauri, wadau ni kirusi basi huna uwezo ya kurekebisha mfumo kama kansa imeenea kiasi hiko.
Hata huo mstari umesema wenye haki, umetumia wingi. Mfumo umeoza.
mtu mwenye records za ujambazi au ufisadi hawezi kua na uhalali wa kusimamia haki gentleman 🐒Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi).
Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi atalipa gharama ipi lakini kuna namna moyoni mwake anenjoy sana kusimamia HAKI kwa maslahi ya wengi(Kama hunielewi angalia kwa makini tabasamu la Lissu akiwa mahakamani).
Kazi ya kusimamia HAKI huonekana ni ngumu kwa mtu mwenye nia mbili. Huyu lazima ateseke haswaa.
"Tamaa na Heshima haviwezi kukaa pamoja" Mwl mwenzangu JK Nyerere
Ukiwa compromised maana yake wewe tangu Mwanzo uliingia kimtego. Ulikuwa vuguvugu.Hukuwa thabiti. Mtu thabiti hayumbishwi na UDHALIMU wowote mwanzo mwisho!.Unaweza anza na nia njema pia ukawa compromised, pia kama asilimia kubwa wasaidizi wako, washauri, wadau ni kirusi basi huna uwezo ya kurekebisha mfumo kama kansa imeenea kiasi hiko.