Kuna Kutenda haki.
Kudai haki.
Kulinda haki.
Kusimamia haki itendeke.
Kulinda haki.
Mahakama haidai haki bali inasimamia haki itendeke.
Wengine wanafanya hivyo vingine kwenye suala la haki. Wakifanya hivyo hawatendi mambo ya ugaidi.

Ninahitaji tafsiri ya katiba, ni kifungu kipi kinachowapa watu wengine mamlaka ya kusimamia haki kutokana na hoja ya huu uzi ? Unaweza kudai haki kupitia vyombo vya kisheria, lakini sio kusimamia haki itendeke kutokana na uhuru uliopewa kwa Mahakama.