Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Watanzania,
SALAAM!
Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata.
Hawa wanafaa kuja kusaidia maeneo mengi ya mikataba ya kimataifa (Lissu na Mdee); Uchumi, na utunzi wa sera Rafiki kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Watu hao ni bright sana lkn huko walikopitia sioni kama ni sehemu sahihi kwao. WAJE CCM kazi ndani ya chama ni nyingi sana tutawatumia, kazi serikalini ni nyingi sana tutawapa, kazi ktk taasisi za taifa na kimataifa ni nyingi tutawadhamini.
Siasa siyo uadui!