Lissu, Heche, Wenje, Garubindi, Bulaya, Mdee etl KARIBUNI CCM TUTAWAPOKEA - KAZI ZIPO NYINGI

Watanzania,
SALAAM!

Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata.

Hawa wanafaa kuja kusaidia maeneo mengi ya mikataba ya kimataifa (Lissu na Mdee); Uchumi, na utunzi wa sera Rafiki kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Watu hao ni bright sana lkn huko walikopitia sioni kama ni sehemu sahihi kwao. WAJE CCM kazi ndani ya chama ni nyingi sana tutawatumia, kazi serikalini ni nyingi sana tutawapa, kazi ktk taasisi za taifa na kimataifa ni nyingi tutawadhamini.

Siasa siyo uadui!
Na picha yako kwenye ID utazani ngozi ya tako la mjaruo
 
Si lisu wala covid 19 watatoka CDM.
kwanza lisu hawawezi kumkubali ccm maana na huko atawanyuka, covid 19 ndo sasa wanarudi rasmi cdm
Kwanza hao COVID !( wanataka waelezwe michango yao ya kila mwezi kwenda chadomo imefanyiwa kazi zipi.

Isingekuwa kutazamwa kwa jicho la huruma na CCM sasa hivi Mbowe alikuwa kishawatemesha ubunge kaweka anaowataka yeye.

Hapo sasa!
 
Tutawapokea!
 
Watanzania,
SALAAM!

Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata.

Hawa wanafaa kuja kusaidia maeneo mengi ya mikataba ya kimataifa (Lissu na Mdee); Uchumi, na utunzi wa sera Rafiki kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Watu hao ni bright sana lkn huko walikopitia sioni kama ni sehemu sahihi kwao. WAJE CCM kazi ndani ya chama ni nyingi sana tutawatumia, kazi serikalini ni nyingi sana tutawapa, kazi ktk taasisi za taifa na kimataifa ni nyingi tutawadhamini.

Siasa siyo uadui!
Kwanza tuanze na kufundishana. Neno sahihi ni ''dhahiri'' na siyo ''nadhili''. Back kwenye topic. Mimi ni mmoja ya watanzania wengi sana wanasikitika na jinsi watanzania wengi wenye uwezo wanaachwa bila kutumika. hao uliwataja ni miongoni mwa wengi. Kama CCM ina lengo na nia nziri ya kuwatumia basi ibadishe katiba ya nchi ili waweze kutumika bila kufungwa na ukiritimba wa CCM. Wananchi wawe na uwezo wa kuwachagua popote wanapotaka bila kuingiliwa.
 
Watanzania,
SALAAM!

Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata.

Hawa wanafaa kuja kusaidia maeneo mengi ya mikataba ya kimataifa (Lissu na Mdee); Uchumi, na utunzi wa sera Rafiki kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Watu hao ni bright sana lkn huko walikopitia sioni kama ni sehemu sahihi kwao. WAJE CCM kazi ndani ya chama ni nyingi sana tutawatumia, kazi serikalini ni nyingi sana tutawapa, kazi ktk taasisi za taifa na kimataifa ni nyingi tutawadhamini.

Siasa siyo uadui!
CHAMA CHA MAJAMBAZI basi na wanaokuja huko ni majambazi.
 
Wakuu,
  • Faraja iko CCM,
  • Tumaini liko CCM,
  • Matarajio yako CCM, na
  • Uhakika upo CCM.

Acheni chuki binafsi, hao waliotajwa na wengine wasiotajwa sababu ya muda wakubali yaishe. CDM ya sasa siyo ile ya akina Bob Makani, Ndesamboro

Ni genge, kundi, sawa na March 23
Kupewa vyeo vya bure na pesa za kuhongana illi kulinda himaya ya ccm
 
Back
Top Bottom