Hili jamaa limetuona hamnazo kabisa, yaani ananiambia nimepigika halafu ananiomba nimchangie saaasa kati yangu na yeye nani kapigika?Halafu Sera ya mgombea urais kusema ataboresha maisha ya watanzania alafu mwisho wa mkutano anaanza kuwaomba wamchangie hela hao hao anaosema ni masikini wameharibiwa maisha na ccm aache kabisa.
Kama ni masikini wa kutupwa hizo hela wanazokuchangia wanatoa wapi.
Lisu acha upotoshaji
Hahahaha LUMUMBA KICHWAN NI MATOPE.Halafu Sera ya mgombea urais kusema ataboresha maisha ya watanzania alafu mwisho wa mkutano anaanza kuwaomba wamchangie hela hao hao anaosema ni masikini wameharibiwa maisha na ccm aache kabisa.
Kama ni masikini wa kutupwa hizo hela wanazokuchangia wanatoa wapi.
Lisu acha upotoshaji
Kwanini serikali za vijiji vifanye kazi ya kununua pamba ?
Kwani vyama vya ushirika ni Mali ya vijiji ?nikupe historia kidogo, wakoloni walivyo anzisha kilimo cha pamba waliletwa makarani wakihindi kutoka india na wanunuzi wa pamba yetu walikuwa makampuni ya uholanzi na uingereza kwa maana ya Mackenzie na Rockefeller, chini ya dalali wao mkubwa Somji and sons na Gupta and Brothers.
Marehemu Paul Bomani alivyounda NCU alibadilisha ununuzi wa Pamba kutoka kwa madalali wa kihindi hadi kuwa chini ya uongozi wa vijiji na ushirika wao wa NCU, badae yalivyokuja mambo ya ubinafsishaji mambo yakabadilika. Na sasa tumerudi kwenye utaratibu wa vijiji kusimamia uchumi wa vijiji vyao wao wenyewe na sio kutumia madalali wanyonyaji.
Ukaona ukaanzishe na uzi kabisa!Yaani mataga mnahaha sana!Umecomment halafu ukaona hako kacomment kanafaa kuwa uzi,ukahamisha hivyo hivyo!Mmeishiwa ya kuandika kiasi hiki?Mko desperate sana!Haya ndio madhara ya kufanya siasa wenyewe kwa miaka mitano!Halafu Sera ya mgombea urais kusema ataboresha maisha ya watanzania alafu mwisho wa mkutano anaanza kuwaomba wamchangie hela hao hao anaosema ni masikini wameharibiwa maisha na ccm aache kabisa.
Kama ni masikini wa kutupwa hizo hela wanazokuchangia wanatoa wapi.
Lisu acha upotoshaji
Mchangie tu mkuu, huenda atashinda na tutakula bata.Hili jamaa limetuona hamnazo kabisa, yaani ananiambia nimepigika halafu ananiomba nimchangie saaasa kati yangu na yeye nani kapigika?
Aliyewakopa wakulima pamba yao ni Ester Bulaya na wapambe wake uzuri wameshamstukia hapati tena ubunge na watendaji wake wa vijiji washatimuliwa, kiwanda gani kilichokufa?Pamba inanunuliwa na wanaccm full stop hapo..... Ccm wameua viwanda Mwanza full stop. Wakulima wa Pamba wanakopwa badala ya papo kwa papo full stop.
Sasa we msukule wa lumumba unabisha nini
Hawa nyumbu hata uwaelimishe vipi watapinga tuu, waache na huyo mbwatukaji aendelee kuwapotosha wakati wakulima wa pamba wanaujua ukweli.nikupe historia kidogo, wakoloni walivyo anzisha kilimo cha pamba waliletwa makarani wakihindi kutoka india na wanunuzi wa pamba yetu walikuwa makampuni ya uholanzi na uingereza kwa maana ya Mackenzie na Rockefeller, chini ya dalali wao mkubwa Somji and sons na Gupta and Brothers.
Marehemu Paul Bomani alivyounda NCU alibadilisha ununuzi wa Pamba kutoka kwa madalali wa kihindi hadi kuwa chini ya uongozi wa vijiji na ushirika wao wa NCU, badae yalivyokuja mambo ya ubinafsishaji mambo yakabadilika. Na sasa tumerudi kwenye utaratibu wa vijiji kusimamia uchumi wa vijiji vyao wao wenyewe na sio kutumia madalali wanyonyaji.
Wacha upumbavu wako mwamba! Unaijua ginnery ya Nsagali wewe? Inanunua makalio ya shangazi yako? Unamfahamu Simon Kisenha na ginnery zake pale Maswa na Malampaka? Vipi kuhusu Kigwangala? Wote hao ni wanaccm wacha ujinga kabisa!Madai ya Lissu kuwa Pamba inanunuliwa na wana CCM, ni madai ya kijinga tu mnunuzi ambaye ni mwana ccm ni Gachuma naye ana hisa kidogo sana kupitia Bulamba Gingery, hisa nyingi ni za Sumaria Group. Wanunuzi wakubwa wa Pamba ni Bilchard na Gupta group hawana uhusiano wowote na CCM niwafanya biashara huru tu.