TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Nilimpa Challenges mbili za kufafanua namna gani atashughulikia mambo mazito kwenye 'serikali yake ya kufikirika' kwa nyakati hizi za ulimwengu ambayo ni 1. Uchumi imara wa Nchi, na 2. Usalama (katika nyanja zote) wa Nchi.Lisu ni mweupe kabisa kuhusu mambo ya uchumi!
Uchumi siyo MIGA jamani
===
Mpaka sasa hajatoa ufafanuzi huo, na hata wafuasi wake 'kindakindaki' hapa JF nao wameuchuna...hawataki 'kumrushia taulo' Ni Yeye.