Zanaco
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 1,611
- 1,590
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya amesema Serikali itahakikisha madeni yote ya Vyama vya Msingi vya ushirika, wakulima, ushuru wa Halmashauri na Vyama Vikuu vya Ushirika kwa zao la pamba ambayo bado hayajalipwa yanalipwa kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mwaka 2020.
Kusaya ameyasema hayo Aprili 29, 2020 katika kikao alichofanya na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza na wanunuzi wa pamba ambacho kimefanyika Mjini Geita wakati akiwa katika ziara ya siku moja mkoani Mwanza.