Uchaguzi 2020 Lissu hili la Vyama vya Ushirika umedanganywa na sisi umetudanganya

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Kusaya amesema Serikali itahakikisha madeni yote ya Vyama vya Msingi vya ushirika, wakulima, ushuru wa Halmashauri na Vyama Vikuu vya Ushirika kwa zao la pamba ambayo bado hayajalipwa yanalipwa kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa mwaka 2020.

Kusaya ameyasema hayo Aprili 29, 2020 katika kikao alichofanya na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Mwanza na wanunuzi wa pamba ambacho kimefanyika Mjini Geita wakati akiwa katika ziara ya siku moja mkoani Mwanza.
 
Madeni yanayozungumziwa ni yale wenyeviti wa vijiji walioko jela kwa wizi wa pesa, wakulima lazima wapate pesa yao na hao majizi kutoka chadema nao wapate haki zao, hizi fedha ziliwekewa bima hivyo kuna utaratibu wa kupeleka madai ili kampuni ya bima iweze kulipa
 
Hiyo Ni mwaka huu, mwaka Jana vijiji vingi vilikuwa chini ya Hawa washenzi chadema
Umekamatwa vibaya baada ya kuleta upotoshaji kwenye uzi wako huu. Watu wa Kanda ya ziwa wanakupa madini ya ufedhuli mnaoufanya. Baada ya kuabika naona unaanza kuhamisha magoli.

Mpuuzi wa Lumumba wewe!!!
 
Ila kuwekeza hela yako kwa mtu ambaye hatashinda nayo inahitaji moyo sana.

Hongereni nyumbu, muendelee na moyo huo huo Wa kutoa maji kisimani na kumwaga baharini.
 
We mwamba nakwambia wewe ni mpumbavu! Unafikri hao wote unaowataja wamefunga ginnery zao? GAKI yupo anaendelea na pamba, tena umenikumbusha wengine nilikuwa nimewasahau.

Kuna Mwarabu mwingine yuko na ginnery pale mwanhuzi na Igunga, Simon Kisenha bado anaendelea na ginnery zake anasimamia mdogo wake, yupo Fresho pale Shinyanga! Wote hawa ni CCM damu! Wacha ujinga mwamba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…