Lissu hofu yako ya fedha chafu ndani ya Chadema inatoka wapi?

Lissu hofu yako ya fedha chafu ndani ya Chadema inatoka wapi?

Nasikia China wanadai madeni kibao pale lumumba na kawaida ya mchina ukishindwa kulipa anachukua mali zako
mwamba wa kaskazini hawezi kung'oka pale mpaka atakapojiridhisha sasa kwamba namuachia mtu sahihi wa kuhakikisha madeni yote yanalipwa, kwa wakati kwasabb yale madeni kwenye kile chama, yanahitaji miaka elfu1 kuyalipa kikamilifu 🐒
 
Anachokisema Tundu Lisu huku ukizingatia yuko nafasi 3 za juu, huo ni ushahidi kuwa mwenyekiti wa cdm ni tatizo. Ni muda sahihi wa mwenyekiti wa cdm kukaa pembeni na kuruhusu uongozi mwingine. Inaelekea kwenye vikao vya ndani mwenyekiti amegoma kutii mabadaliko huku akilazimisha business as usual. Mbowe atambue wakati ukuta.
Huwa nashangaa nikisikia Chadema hakuna Demokrasia wakati watu wapo huru kuongea.

Jaribu kuinuwa mdomo wako ccm ukione cha mtema kuni kilichomtowa Ndugai manyoya.

By the way fact ni kwamba Lisu ni mwanaharakati na Mbowe ni Stateman ni watu wawili tofauti kabisa.

Halafu uchaguzi si unakuja? Kwani Chadema wanatowa fomu moja kama ccm? Ni kwa nini msigombee mung'owe Mbowe kwenye uchaguzi?
 
Umesahau zile bilioni 3 karibu na uchaguzi na zilizozuiwa na UTAWALA wa awamu ya 5?!!

Zikielekezwa kwa NGO's sijui ya yule ndugu wa kutoka huko Ngororongo na Serengeti ?!![emoji1787]

..kwanini Watawala wazuie fedha za kampeni za Chadema huku wanaruhusu Ccm watumie fedha inavyowapendeza?
 
Nimemsikikiza vizuri sana makamu mwenyekiti wa Chadema kwa makini sana kupitia kituo komoja cha habari jana.

Anasema anahofu kuwa fedha haramu zinaweza kuingizwa ndani ya Chadema.

Lissu ni makamu mwenyekiti wa Chadema ambaye yupo ktk top 3 ya viongozi wakuu wa chama.

Inakuwaje awe na mashaka wakati na yeye ni mmoja wa waongoza chama?

Binafsi naanza kuwa na mashaka sana na uwepo wake ndani ya cdm na hizi comedy zinazoendelea Kati yake na Msigwa.

Ukweli huwa ni mchungu sana lkn Wana cdm wenzangu huyu Lissu ni suala la muda tu tutasikia amehamia CCM au ameanzisha chama chake.

Tuombe uzima ili tuyashuhudie yajayo.

View attachment 3080239
Hivi wewe huelewi nguvu ya pesa??

Kwenye Biblia Yosefu aliuzwa na kwa vipande vya pesa na ndugu zake wa baba mmoja??

Hukuwahi kusikia YUDA Iskari Ote alimsaliti Yesu kwa vipande thelathini??

Wewe wanaume WANAKIZIWA wake zao kwa nguvu ya pesa??

Wanawake Mashangazi huwarubini vijana wadogo KIMAPENZI ili wakawasugue vilivyo??

Vijana wa kiume wanapakuliwa kisamvu Cha KOPO na wanaume wenzao??

You talk as if you jumped from heaven you don't know what takes place on earth???

Katika vitu vyako vyote kuposti hapa hii ni post ya KIJINGA sana kama umeshindwa kujua essence ya hoja ya Lissu kuhusu pesa.

Watu hawana maadili,ilitakiwa umpongeze lissu kwa kukosoa na kutoa Tahadhari juu ya pesa hizo alizozisema.
 
Huwa nashangaa nikisikia Chadema hakuna Demokrasia wakati watu wapo huru kuongea.

Jaribu kuinuwa mdomo wako ccm ukione cha mtema kuni kilichomtowa Ndugai manyoya.

By the way fact ni kwamba Lisu ni mwanaharakati na Mbowe ni Stateman ni watu wawili tofauti kabisa.

Halafu uchaguzi si unakuja? Kwani Chadema wanatowa fomu moja kama ccm? Ni kwa nini msigombee mung'owe Mbowe kwenye uchaguzi?
Muulize Zitto kabwe, nyalandu na Sumaye ndio utajua democracy ipo poa
 
Ni vizuri kuwa na mashaka. Na yeye alifafanua kuwa wakitaka fedha za kufanya mikutano na mambo mengine ndani ya chama majibu huwa ni kwamba fedha hakuna ila alishangaa wakati wa uchaguzi fedha zilikuwepo kila kona.
Sasa yeye kama makamu mwenyekiti hajui wa kumuuliza nani ndani ya chama hilo swala?
 
Unatupigia kelele na lichama lako lililojaa ukabila hilo!
 
Back
Top Bottom