mwamba wa kaskazini hawezi kung'oka pale mpaka atakapojiridhisha sasa kwamba namuachia mtu sahihi wa kuhakikisha madeni yote yanalipwa, kwa wakati kwasabb yale madeni kwenye kile chama, yanahitaji miaka elfu1 kuyalipa kikamilifu 🐒Nasikia China wanadai madeni kibao pale lumumba na kawaida ya mchina ukishindwa kulipa anachukua mali zako
Huwa nashangaa nikisikia Chadema hakuna Demokrasia wakati watu wapo huru kuongea.Anachokisema Tundu Lisu huku ukizingatia yuko nafasi 3 za juu, huo ni ushahidi kuwa mwenyekiti wa cdm ni tatizo. Ni muda sahihi wa mwenyekiti wa cdm kukaa pembeni na kuruhusu uongozi mwingine. Inaelekea kwenye vikao vya ndani mwenyekiti amegoma kutii mabadaliko huku akilazimisha business as usual. Mbowe atambue wakati ukuta.
Mpwa, Hapana, tujipe muda tafadhaliSijakosea nilichoandika boss. Tatizo la hizo fedha chafu ni mwenyekiti.
Umesahau zile bilioni 3 karibu na uchaguzi na zilizozuiwa na UTAWALA wa awamu ya 5?!!
Zikielekezwa kwa NGO's sijui ya yule ndugu wa kutoka huko Ngororongo na Serengeti ?!![emoji1787]
Hivi wewe huelewi nguvu ya pesa??Nimemsikikiza vizuri sana makamu mwenyekiti wa Chadema kwa makini sana kupitia kituo komoja cha habari jana.
Anasema anahofu kuwa fedha haramu zinaweza kuingizwa ndani ya Chadema.
Lissu ni makamu mwenyekiti wa Chadema ambaye yupo ktk top 3 ya viongozi wakuu wa chama.
Inakuwaje awe na mashaka wakati na yeye ni mmoja wa waongoza chama?
Binafsi naanza kuwa na mashaka sana na uwepo wake ndani ya cdm na hizi comedy zinazoendelea Kati yake na Msigwa.
Ukweli huwa ni mchungu sana lkn Wana cdm wenzangu huyu Lissu ni suala la muda tu tutasikia amehamia CCM au ameanzisha chama chake.
Tuombe uzima ili tuyashuhudie yajayo.
View attachment 3080239
Muulize Zitto kabwe, nyalandu na Sumaye ndio utajua democracy ipo poaHuwa nashangaa nikisikia Chadema hakuna Demokrasia wakati watu wapo huru kuongea.
Jaribu kuinuwa mdomo wako ccm ukione cha mtema kuni kilichomtowa Ndugai manyoya.
By the way fact ni kwamba Lisu ni mwanaharakati na Mbowe ni Stateman ni watu wawili tofauti kabisa.
Halafu uchaguzi si unakuja? Kwani Chadema wanatowa fomu moja kama ccm? Ni kwa nini msigombee mung'owe Mbowe kwenye uchaguzi?
Sasa yeye kama makamu mwenyekiti hajui wa kumuuliza nani ndani ya chama hilo swala?Ni vizuri kuwa na mashaka. Na yeye alifafanua kuwa wakitaka fedha za kufanya mikutano na mambo mengine ndani ya chama majibu huwa ni kwamba fedha hakuna ila alishangaa wakati wa uchaguzi fedha zilikuwepo kila kona.