Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
umenena kweliWizi wa kura ukifuatwa na mauaji, kufungwa, kuteswa, na ukatili wote unaoweza kuuwaza kutoka polisi, jeshi, mahakama, BUNGE, tume ya uchaguzi, magereza, mgambo, CCM weyewe maana ni wauaji, THINK OF ANY ATROCITIES THAT CAN BE DONE AGAINST CHADEMA , AND THEN YOU WILL BE RIGHT