Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wale wenye mapanga hawakutaka tuweke kwenye maandishii.......nafsi ziliwasutaMaridhiano bila maandishi ni ujinga. Lazima kuwe na document inayosema mnalidhiana nini na mnatokaje mlipo, sasa ccm hawataki maandishi, wala committmeny ya aina yoyote, huo ni ulaghai.