Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

Maridhiano bila maandishi ni ujinga. Lazima kuwe na document inayosema mnalidhiana nini na mnatokaje mlipo, sasa ccm hawataki maandishi, wala committmeny ya aina yoyote, huo ni ulaghai.
Wale wenye mapanga hawakutaka tuweke kwenye maandishii.......nafsi ziliwasuta
 
Kumbe Uchaguzi mtashiriki? Nawakumbusha tuu Lisu kwao ni Ubelgiji.
Naona jizi la kura umepata hamaki maana iwapo cdm watashiriki watawaharibia mahesabu ile mbaya. Kwani kuwashinda kihalali haiwezekani, hivyo wizi wa kura ndio njia pekee. Njia hiyo inawatia aibu lakini hamna jinsi kwani mnaona aibu kushindwa, na hamko tayari kutoka madarakani kwa amani maana mnajua wengi mtaishia jela. Tunasubiri hayo maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Sure
 
View attachment 2832540

Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu.

Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua, unadhani huko mbele nini kitatokea?
Atafukuzwa na mbowe!
 
Back
Top Bottom