Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema mnaparuana tu na kutoa mimaviKwamba press inahitaji shingapi ambazo Lissu hawezi kuwa nazo
Yaani kuwaambia waandishi wa habari njooni natangaza Nia ya kugombea nayo Lissu anahitaji pesa kutoka kwa msigwa?
Harusi yangu tu Mimi nilifanya mlimani city Mimi Nina pesa kuliko Lissu?
Yaani ukumbi wa million 10 unategemea Lissu akose milioni 10 ?
Pumbavu Sana watumwa wa mbowe nyie ndio kumbe mnakwamisha maendeleo ya hii nchi
CCM washawajua wanawachezea tu watakavyo
Sasa Kama sio mjinga mbona unacheza mziki wa CCMWewe ni mjinga kumbe? Unawezaje kuniita mpumbavu au chawa wa Mbowe?
Kwa taarifa yako mtu mjinga ni kuwa mimi ni mtu ninaye Unga mkono mabadiliko ndani ya uongozi kidemokrasia hasa wakati huu.
Na sababu ya kumtaka ajibu uzushi huo ni kuwa sitaki Lissu wampoteze kwa sababu ya kufikiriwa kuwa ana uhusiano na Msigwa aliyekitukana Chama na akanyimwa kura pasipo ukweli wowote!
Sasa uchawa kwa Mbowe uko wapi hapo? Na pia Mbowe simpingi kwani kwa sasa ni mwenyekiti aliyechaguliwa na wana chadema hadi uchaguzi mwingine
Well said, Msigwa anaweza kuwa kachomekea hili kwa faida zake kisiasa na kumkera Mbowe. Lakini ni baya kwa sisi tunaotaka mabadiliko ya kikatiba yaende vizuri kwani naamini zaidi ya nusu ya wapiga kura wako neutral hivyo wanasubiri sera zitakazo mwagwa sasa uzushi kama huu kuwa Msigwa kamsaidia kufanya lolote ndani ya chama utaharibu image yake kwa wale wasio na access na ukweli.Hili sio jambo kubwa mkuu, bali ni uzushi mkubwa. Yaani Msigwa angekuwa na hela ya kumpa Lisu aitishe press conference angebebeshwa mabango ya Samia kama bwege? Msigwa ana nogwa na Mbowe, akiona jambo lolote linalomkwaza Mbowe anadandia ili kujipunguzia stress. Cha muhimu ifahamike muda wa Mbowe kuwa mwenyekiti wa cdm, ni suala la kukubaliana na hitaji la wakati.
Hakuna kitu Kama icho huo ni uzushiNi ajabu sana watu niliokuwa nawaamini kukuta jambo kubwa kama hili mnalichukulia kwa udogo!
Kulipiwa, kuratibiwa na mipango mingine sio kuwa hawezi kuifanya mwenyewe Lissu, lakini why ajihusishe Msigwa? Hivi mkuu adui wa chama chako anakulipia hata mafuta ya gari kwa safari yako ya kichama laki tuu utasema ni sawa? Kwani hukuwa na laki ya mafuta? Kwa nini afanye hivyo na kwa nia gani?
Lissu amewashika pabaya? atakanusha vingapi?Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Jee ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?
Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.
Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.
Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.
Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.
PEOPLES POWER!
Mkuu kila siku Mbowe tunaambiwa kalamba asali, lakini hukuwahi kumtaka ajitokeze kujibu hizo tuhuma. Hivyo ni vyema kutotaka kwa Lisu kujibu kila uzushi utakaoletwa kwenye mitandao.Well said, Msigwa anaweza kuwa kachomekea hili kwa faida zake kisiasa na kumkera Mbowe. Lakini ni baya kwa sisi tunaotaka mabadiliko ya kikatiba yaende vizuri kwani naamini zaidi ya nusu ya wapiga kura wako neutral hivyo wanasubiri sera zitakazo mwagwa sasa uzushi kama huu kuwa Msigwa kamsaidia kufanya lolote ndani ya chama utaharibu image yake kwa wale wasio na access na ukweli.
Kuna watu wanashindwa uchaguzi kwa sababu tuu uongo dhidi yao haukukanushwa.
jambo la kwanza,Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Jee ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?
Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.
Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.
Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.
Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.
PEOPLES POWER!
Hoja hapa Lissu ajibu pesa za press kazipata wapi?? kama kachamgiwa na wanachama aonyeshe uthibitisho maana yeye ni mwanasheria, tunaanzia hapo kwanza.jambo la kwanza,
hoja za msigwa dhidi ya Chadema ni za msingi sana, chama kinapaswa kumjibu.
jambo la pili,
Msigwa akabiliwe kisiasa. Full stop.
jambo la mwisho ila sio kwa umuhimu, siasa ni sayansi ya mipango na sio makelele na mdomo
msigwa ni mtengeneza mapito tu ya ukombozi 🐒
Masuala ya pesa za chadema anaehusika ni mtu moja tu.Hoja hapa Lissu ajibu pesa za press kazipata wapi?? kama kachamgiwa na wanachama aonyeshe uthibitisho maana yeye ni mwanasheria, tunaanzia hapo kwanza.
Acha kutufokea, lete ushahidi wa Msigwa kufadhili press. Tukuamini kwa kubwatuka tu? Yaani Lissu ajitokoze kujibu mbwatuko wako tu?Mkuu kwa hiyo ni sahihi kama itatokea kusimamia mipango ya mwingine kwenye chama chake?
Hoja hapa Lissu ajibu pesa za press kazipata wapi?? kama kachamgiwa na wanachama aonyeshe uthibitisho maana yeye ni mwanasheria, tunaanzia hapo kwanza.
Mkuu sijui mimi na wewe tunatofautiana wapi! Hata mie nasema ni uzushi na sio wa kuuacha usambae kisha uwe na nguvu ya kumkosesha Lissu uungwaji mkono.Hakuna kitu Kama icho huo ni uzushi
Kwa kusoma trend ,nashawishika kuamnini ameratibiwa kuandaa press na mtu au watu wa upande ule
Lissu kalipiwa kwa michango ya watu mbalimbali. Unajua kitu kinachoitwa Sauti ya watanzania? Nenda ClubHouse kama una simu. Fedha zote zilichangwa pale.Ni ajabu sana watu niliokuwa nawaamini kukuta jambo kubwa kama hili mnalichukulia kwa udogo!
Kulipiwa, kuratibiwa na mipango mingine sio kuwa hawezi kuifanya mwenyewe Lissu, lakini why ajihusishe Msigwa? Hivi mkuu adui wa chama chako anakulipia hata mafuta ya gari kwa safari yako ya kichama laki tuu utasema ni sawa? Kwani hukuwa na laki ya mafuta? Kwa nini afanye hivyo na kwa nia gani?
Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?