Pre GE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

Pre GE2025 Lissu jitokeze ukanushe habari za Msigwa kugharamia Press ya kutangaza nia, vinginevyo umekwisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu kila siku Mbowe tunaambiwa kalamba asali, lakini hukuwahi kumtaka ajitokeze kujibu hizo tuhuma. Hivyo ni vyema kutotaka kwa Lisu kujibu kila uzushi utakaoletwa kwenye mitandao.
Mkuu Tindo hilo lilikuwa na madhara gani ndani ya chama? Lakini hili ni kubwa kwani linaweza kuharibu uchaguzi wa chama chetu kwa huu UONGO kwani kuna watu watamnyima kura Lissu sababu ya kuruhusu uongo uonekane ni ukweli.
 
Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.

Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?

Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.

Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.

Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.

Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.

PEOPLES POWER!
Kwani kuna tatizo gani ukipata ufadhili ni kuishiwa mawazo, (running out of ideas)
 
Swala sio kushindwa gharama wewe! Issue hapa jee alijihusisha na maandalizi ya press hiyo?
We kila azungumziaye mambo ya Chadema yuko Machame sio? Grow up brother! Na nina hakika kwa uzito wa mada hii Lissu ni muelewa atajibu hadharani hoja hii maana yaweza kuwa imechomekwa pia na wanaccm ili kumvurugia na kuvuruga uchaguzi. Mtu yeyote neutral hakika atabadili mawazo yake kwa Lissu akisikia amejihusisha na Msigwa katika safari yake ya kutaka uenyekiti.
Nadhani wewe hata humjui mchungaji Msigwa 😂

Msigwa Kwa sasa ni maskini kabisa na hata Kanisa la kaka yake pale Mkimbizi/Mtwivila limefungwa

Uzuri Lisu hawezi Kufa kindezi tunawafuatilieni kwa karibu sana🐼
 
Kwamba press inahitaji shingapi ambazo Lissu hawezi kuwa nazo

Yaani kuwaambia waandishi wa habari njooni natangaza Nia ya kugombea nayo Lissu anahitaji pesa kutoka kwa msigwa?

Harusi yangu tu Mimi nilifanya mlimani city Mimi Nina pesa kuliko Lissu?

Yaani ukumbi wa million 10 unategemea Lissu akose milioni 10 ?

Pumbavu Sana watumwa wa mbowe nyie ndio kumbe mnakwamisha maendeleo ya hii nchi

CCM washawajua wanawachezea tu watakavyo
Na hiyo milioni 10 ni kwa ukubwa wake na gharama za maandalizi etc

Ila kwa kakipandetu ka ku accommodate waandishi kadhaa bei sio taiti kihivyo
 
Kwa kweli CHADEMA tuachane na siasa chafu, Tusifanye kugombea uenyekiti ni jambo kubwa sana kiasi kwamba tuanze kuokoteza maneno ya kumchafua mtu. Msigwa ana pesa gani ya kuandaa ukumbi kwa ajili ya Lissu?.
Lakini nikujuavyo humu JF hauna akili that much low! Nani kaongelea kumchafua mtu kugombea uenyekiti? Ukiangalia kwa jicho la tatu ungejua kuwa hapo napambania Lissu asichafuliwe kwa kauli za kumhusisha na Msigwa kuandaa press yake? Anahusikaje kuandaa wakati yule ni mwana ccm tena mtoa matusi kwa chama? Atampendaje Lissu huku anakichukia chama?
Ndio nikashauri Lissu aji weke wazi kujitofautisha na Msigwa ili tuzipate kura za kumfanya mwenyekiti.
Nadhani utakuwa umeisikiliza clip ya mahojiano ya Yericko nimeiambatanisha kwenye post moja hapo juu, haina afya isipojibiwa!
Shida hapa JF tunadhani tunaweza kumpa ushindi Lissu au yeyote kwa vile tunamuelewa na tunaelewa propaganda za watu wengine, wakati sisi sio wajumbe wa mkutano mkuu na wao wanaelewa vingine.
 
Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.

Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?

Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.

Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.

Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.

Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.

PEOPLES POWER!
Maandalizi na gharama zote za ukumbi ililipwa na Diaspora wa Sauti ya Watanzania.

Hayo ya Msingwa ni miCCM ime panic wanaanza propaganda zao.

Ndani ya saa moja tu Diaspora walichanga milioni 10. Zilikuwa zinatakiwa milioni 8
 
Hoja hapa Lissu ajibu pesa za press kazipata wapi?? kama kachamgiwa na wanachama aonyeshe uthibitisho maana yeye ni mwanasheria, tunaanzia hapo kwanza.
Wachagga hamnaga akili kabisa 😂

Lisu anajaza Mafuta kwenye Prado daily ashindwe vijisenti vya kale kaukumbi 😀😀
 
Acha hizo

Mchungaji Msigwa ana madeni kibao ambayo analipiwa kidogo kidogo na ASAS Misasa

Kwa Sababu unaishi machame basi unadhani ukumbi wa Mlimani City ni wa gharama sana

Hapo tunafanyiaga sherehe za komunio ya kwanza 😀😀

Akikujibu hii Chakaza mleta mada usiache kutuletea mrejesho.

Ni wazi kuwa chawa wanapata taabu sana!

imhotep, Tlaatlaah na wale wale wengine au nasema uongo?
 
Maandalizi na gharama zote za ukumbi ililipwa na Diaspora wa Sauti ya Watanzania.

Hayo ya Msingwa ni miCCM ime panic wanaanza propaganda zao.

Ndani ya saa moja tu Diaspora walichanga milioni 10. Zilikuwa zinatakiwa milioni 8
Haya ndio majibu mujarabu wanayotakiwa kuyajua wale wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema ili wasije potea kwa uongo wa maccm na watu walio ndani ya Chadema na wanampinga Lissu.
That's the intention of this thread, sasa vilaza wanakuja na mijazba kama wamekula zile pilipili 🌶 🌶 za kihindi au wamepakwa kunako bila kusoma na kutafakari.
Ujumbe wako natamani uwafikie wengi, na njia kuu ni kujibiwa na mtu mwenye sauti kuu kusikiwa kila mpiga kura wa mkutano mkuu
 
Hawa ndio waliandaa na ku fund press conference ya Lissu.

Huyo Msigwa wenu kama ana pesa apeleke kwenye kuku wake.
 
Attachments

  • IMG_2742.jpeg
    IMG_2742.jpeg
    341 KB · Views: 2
Akikujibu hii Chakaza mleta mada usiache kutuletea mrejesho.

Ni wazi kuwa chawa wanapata taabu sana!

imhotep, Tlaatlaah na wale wale wengine au nasema uongo?
Siwezi kumjibu, maana kama hoja yenyewe hata kuielewa hajaielewa anakimbilia maneno ya kuudhi sijui chawa sijui uchaga. Akikua ataelewa
 
Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.

Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?

Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.

Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.

Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.

Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.

PEOPLES POWER!
Huko CDM kila mmoja ni mwana CCM.

Mmoja baada ya mwingine mtarudi kundini.
 
Akikujibu hii Chakaza mleta mada usiache kutuletea mrejesho.

Ni wazi kuwa chawa wanapata taabu sana!

imhotep, Tlaatlaah na wale wale wengine au nasema uongo?
nimeeleza kwa kina kirefu sana jambo hili hapo juu,

Lisu mwenyewe alieleza kinagaubaga alipopata pesa za kuitisha press conference ile ya maana sana alipoulizwa na na muandishi wa habari kwamba ni nani kagharamia mkutano ule,

simple sana alijibu,
ni marafiki zake na wadau mbalimbali wa chama ndio wamechangia gharama za press ile..

nashangaa mnababaka na hili wakati mchango wa gari hadi CCM ilitoa 🐒
 
Acha hizo

Mchungaji Msigwa ana madeni kibao ambayo analipiwa kidogo kidogo na ASAS Misasa

Kwa Sababu unaishi machame basi unadhani ukumbi wa Mlimani City ni wa gharama sana

Hapo tunafanyiaga sherehe za komunio ya kwanza [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siwezi kumjibu, maana kama hoja yenyewe hata kuielewa hajaielewa anakimbilia maneno ya kuudhi sijui chawa sijui uchaga. Akikua ataelewa

Mkuu nani asiyejua Msigwa ana madeni?

Hii ya kwako siyo inafana na ile ya mbwa mwitu aliyedai kutukanwa na mwana kondoo katika kipindi ambacho kumbe hata hakuwa amekwishazaliwa?

Ukweli mchungu:

GeqFYhVWsAAcU0W.jpeg
 
Back
Top Bottom