Mkuu Tindo hilo lilikuwa na madhara gani ndani ya chama? Lakini hili ni kubwa kwani linaweza kuharibu uchaguzi wa chama chetu kwa huu UONGO kwani kuna watu watamnyima kura Lissu sababu ya kuruhusu uongo uonekane ni ukweli.Mkuu kila siku Mbowe tunaambiwa kalamba asali, lakini hukuwahi kumtaka ajitokeze kujibu hizo tuhuma. Hivyo ni vyema kutotaka kwa Lisu kujibu kila uzushi utakaoletwa kwenye mitandao.
Kwani kuna tatizo gani ukipata ufadhili ni kuishiwa mawazo, (running out of ideas)Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?
Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.
Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.
Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.
Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.
PEOPLES POWER!
Nadhani wewe hata humjui mchungaji Msigwa πSwala sio kushindwa gharama wewe! Issue hapa jee alijihusisha na maandalizi ya press hiyo?
We kila azungumziaye mambo ya Chadema yuko Machame sio? Grow up brother! Na nina hakika kwa uzito wa mada hii Lissu ni muelewa atajibu hadharani hoja hii maana yaweza kuwa imechomekwa pia na wanaccm ili kumvurugia na kuvuruga uchaguzi. Mtu yeyote neutral hakika atabadili mawazo yake kwa Lissu akisikia amejihusisha na Msigwa katika safari yake ya kutaka uenyekiti.
Na hiyo milioni 10 ni kwa ukubwa wake na gharama za maandalizi etcKwamba press inahitaji shingapi ambazo Lissu hawezi kuwa nazo
Yaani kuwaambia waandishi wa habari njooni natangaza Nia ya kugombea nayo Lissu anahitaji pesa kutoka kwa msigwa?
Harusi yangu tu Mimi nilifanya mlimani city Mimi Nina pesa kuliko Lissu?
Yaani ukumbi wa million 10 unategemea Lissu akose milioni 10 ?
Pumbavu Sana watumwa wa mbowe nyie ndio kumbe mnakwamisha maendeleo ya hii nchi
CCM washawajua wanawachezea tu watakavyo
Lakini nikujuavyo humu JF hauna akili that much low! Nani kaongelea kumchafua mtu kugombea uenyekiti? Ukiangalia kwa jicho la tatu ungejua kuwa hapo napambania Lissu asichafuliwe kwa kauli za kumhusisha na Msigwa kuandaa press yake? Anahusikaje kuandaa wakati yule ni mwana ccm tena mtoa matusi kwa chama? Atampendaje Lissu huku anakichukia chama?Kwa kweli CHADEMA tuachane na siasa chafu, Tusifanye kugombea uenyekiti ni jambo kubwa sana kiasi kwamba tuanze kuokoteza maneno ya kumchafua mtu. Msigwa ana pesa gani ya kuandaa ukumbi kwa ajili ya Lissu?.
Maandalizi na gharama zote za ukumbi ililipwa na Diaspora wa Sauti ya Watanzania.Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?
Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.
Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.
Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.
Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.
PEOPLES POWER!
Wachagga hamnaga akili kabisa πHoja hapa Lissu ajibu pesa za press kazipata wapi?? kama kachamgiwa na wanachama aonyeshe uthibitisho maana yeye ni mwanasheria, tunaanzia hapo kwanza.
Acha hizo
Mchungaji Msigwa ana madeni kibao ambayo analipiwa kidogo kidogo na ASAS Misasa
Kwa Sababu unaishi machame basi unadhani ukumbi wa Mlimani City ni wa gharama sana
Hapo tunafanyiaga sherehe za komunio ya kwanza ππ
Haya ndio majibu mujarabu wanayotakiwa kuyajua wale wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema ili wasije potea kwa uongo wa maccm na watu walio ndani ya Chadema na wanampinga Lissu.Maandalizi na gharama zote za ukumbi ililipwa na Diaspora wa Sauti ya Watanzania.
Hayo ya Msingwa ni miCCM ime panic wanaanza propaganda zao.
Ndani ya saa moja tu Diaspora walichanga milioni 10. Zilikuwa zinatakiwa milioni 8
Huko CDM kila mmoja ni mwana CCM.Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi ubaki nawe unatembezwa mitaani ukiwa unabeba picha za mwenyekiti wa CCM kama huyo Msigwa.
Je, ni kweli uliandaliwa ukumbi wa Mlimani city na Peter Msigwa na kulipiwa gharama zote?
Bado hatujasahau Dr Slaa alivyolipiwa gharama za hotel kufanya press yake na dola au Lipumba alivyo gharamiwa kuvuruga CUF kisha kupelekwa Rwanda kula Bata.
Hao wote mwisho wa heshima zao tumeuona ni back to Sq zero.
Nakuamini sana mimi na wanachadema wenzangu, lakini maneno haya yajibiwe yasije kupoteza imani yetu kwako.
Unao uhuru wa kufanya lolote kisiasa, lakini huna uhuru wa kutulazimisha kukuunga mkono chochote utakacho kufanya.
PEOPLES POWER!
nimeeleza kwa kina kirefu sana jambo hili hapo juu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha hizo
Mchungaji Msigwa ana madeni kibao ambayo analipiwa kidogo kidogo na ASAS Misasa
Kwa Sababu unaishi machame basi unadhani ukumbi wa Mlimani City ni wa gharama sana
Hapo tunafanyiaga sherehe za komunio ya kwanza [emoji3][emoji3]
Siwezi kumjibu, maana kama hoja yenyewe hata kuielewa hajaielewa anakimbilia maneno ya kuudhi sijui chawa sijui uchaga. Akikua ataelewa