Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Bc usingesafiri kwa barabara mana zilijengwa ndani ya wizara yakeSijawahi kumfagilia yule kiongozi muovu toka akiwa waziri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bc usingesafiri kwa barabara mana zilijengwa ndani ya wizara yakeSijawahi kumfagilia yule kiongozi muovu toka akiwa waziri.
Wakati mnamsifia huyu mama na sasa hv mnapompinga ilikuwaje.?..hawakumaanisha "dikteta" anayedhulumu wapinzani.
..walimaanisha kiongozi mkali atakayewadhibiti wazembe na wabadhirifu waliokuwa serikalini.
..kwa bahati mbaya alipatikana dikteta mbadhirifu wa fedha za umma, na mkatili kwa vyama vya upinzani.
Bc usingesafiri kwa barabara mana zilijengwa ndani ya wizara yake
Ndo maana nimesema bado Sera za upinzani hazijawaingia wananchi vzr, siku zikiingia vzr hata hao polisi wanao tumiwa watapigia upinzani chapuo, namanisha upinzani hapa kwetu bado Sana...Wapinzani wanaweza kuwa na sera nzuri lakini kukiwa na Amiri Jeshi mkuu toka CCM mwenye UJASIRI kama wa Magufuli ni kazi bure.
..Hivi unafahamu Tume ya Uchaguzi haijawahi kuengua wagombea wengi wa upinzani kama ilivyotokea ktk uchaguzi wa 2020?
..Pia hakuna kipindi cha uchaguzi ambapo vyombo vya habari vilizuiliwa kutangaza kampeni za wapinzani kama mwaka 2020.
..Magufuli alikuwa na uwezo wa kumshinda Tundu Lissu, lakini sijui ni kwanini akaamua kuuvuruga uchaguzi kwa kiwango kile.
Wakati mnamsifia huyu mama na sasa hv mnapompinga ilikuwaje.?
Nmeipenda hy kauli, bc mtambue kuwa mbowe, lissu na wengine wa chadema nao pia wanaweza kukengeuka wakipata madaraka hvy msiwaone wao ndio wana haki kuliko wengine...ila sasa hivi anaonekana kuwa amekengeuka, hivyo ni sahihi kabisa kumlaumu na kumpinga.
Ndo maana nimesema bado Sera za upinzani hazijawaingia wananchi vzr, siku zikiingia vzr hata hao polisi wanao tumiwa watapigia upinzani chapuo, namanisha upinzani hapa kwetu bado Sana.
Bc usingesafiri kwa barabara mana zilijengwa ndani ya wizara yake
Nmeipenda hy kauli, bc mtambue kuwa mbowe, lissu na wengine wa chadema nao pia wanaweza kukengeuka wakipata madaraka hvy msiwaone wao ndio wana haki kuliko wengine.
Ndo maana nimesema bado Sera za upinzani hazijawaingia wananchi vzr, siku zikiingia vzr hata hao polisi wanao tumiwa watapigia upinzani chapuo, namanisha upinzani hapa kwetu bado Sana.
Ok ila lissu hawezi wala hajui siasa. Anatumia uanasheria kwenye siasa halafu anajiona anajua siasa. Wanasheria wengi wanatafuta tu ushindi wa kesi sio haki. Wala sheria na haki sio kitu hicho hicho. Wanasheria wanaweza kuuza na kununua haki kwa wateja wao. Siasa haiko hivyo inataka mtetezi wa haki.Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote yasiokuwa na tija. Njia hizo ni...
(1) Kwanza arudi nchini kukijenga chama na kuendeleza mapambano ya hoja, na kusimamia sera za chama kikamilifu ili kutupa imani kuwa mpambanaji wetu kaamua kusimama na sisi katika nyakati zote za shida na raha kama vile kina mzee Nelson Mandela, Robert Mugabe, Hakainde Hichilema na wengine wa aina hiyo ambao waliweza kupata ushindi wa kuongoza nchi zao kupitia sera zao na mapambano yao ya ndani.
(2) Abadili aina ya siasa zake kutoka katika siasa za chuki, hasira na visasi, hadi katika siasa za upendo, umoja, mshikamano na uvumilivu. Haiwezekani ugomvi wake na hayati Magufuli, au ugomvi wa chama chake na CCM uufanye kuwa ugomvi wa taifa. Yan aufanye ni ugomvi wa watanzania wote dhidi yake au dhidi ya chama chake. Mpaka kufikia hatua ya kuwaomba wafadhili wetu watunyime kabisa misaada ya pesa ambazo huwa zinasaidia kuboresha elimu yetu kwa manufaa ya watoto wetu, au kusaidia kununua madawa kwa ajili ya afya zetu na za watoto wetu nk.. Kibaya zaidi alitaka tuwekewe na vikwazo, ili sisi wenzangu na mimi tusijaribu hata kupata fursa ya kufanya biashara zetu nje ya mipaka ya nchi yetu. Hii ilishangaza sana watanzania kuona mtu mwenye elimu kama Lisu anawezaje kufanya maamuzi ya kipuuzi, na kikatili kwa nchi yako na watanzania wenzako namna ile. Omba msamaha kwa hili, nina imani utasamehewa na kura utapewa.
(3) Ajaribu kuwa na misimamo thabiti isiyoyumbishwa na mtu yoyote, mwenye chochote. Sio leo atuambie hivi afu kesho abadilishe kauli yake atuambie vile, hiyo ni sawa na unafiki, uongo au uzushi. Lazima ajue kuwa siku zote ukweli hujenga, na uongo hubomoa.
(4) Awaombe msamaha wanachadema na watanzania waliomuamini, kwa kitendo chake cha kuwadanganya, na kuwachukulia kama wao ni maboya wasioweza kutumia hata kilo nzima ya akili zao kujua ukweli na uongo wa kauli zake, kama tunavyoona pichani.
(5) Mwisho namshauri ili aweze kujenga siasa zenye malengo, basi akamtafute ndugu Hakainde Hichilema amfunze siasa za kweli. Huu ndio ujumbe wangu kwake, najua hapa kuna wapambe wake watamfikishia. Unajua dunia ya sasa mtu anaweza asikupe chakula, lakini akakuonesha njia nzuri ya kukipata hicho chakula. Na kuna mtu anaweza akakupa chakula lakini akakataa kata kata kukuonesha njia ya kukipata hicho chakula.
Asanteni sana!
Ahhh,kwani hujui kabisa kilichomuondoa nchini?Ndio maana ukiangalia kwenye ushauri wang namb 1, nimeongelea swala la yeye kurudi
Ok ila lissu hawezi wala hajui siasa. Anatumia uanasheria kwenye siasa halafu anajiona anajua siasa. Wanasheria wengi wanatafuta tu ushindi wa kesi sio haki. Wala sheria na haki sio kitu hicho hicho. Wanasheria wanaweza kuuza na kununua haki kwa wateja wao. Siasa haiko hivyo inataka mtetezi wa haki.
Ndio maana lissu ni kibaraka wa ubeberu.
Tatizo lenu chadema mnadhani viongozi wenu wako sahihi wakati wote, huwezi kujua huko kwenye madaraka kuna nini mpaka ufike ndo utajishangaa ww mwenyewe unabadilisha msimamo..Moja ya ahadi za Chadema wakati wa kampeni za 2020 ilikuwa ni kuondoa kipengele cha katiba kinachosema Raisi hatashitakiwa kwa makosa aliyoyafanya akiwa madarakani.
..Kwa hiyo, wapinzani wanaelewa kwamba madaraka hulevya, hivyo ni vizuri kukawa na sheria inayowa-discourage viongozi wetu kutumia madaraka vibaya.
..Labda nikupe mfano. Hivi ukimwambia mwanafunzi kwamba hata akiiba mtihani hatapewa adhabu unategemea mwanafunzi huyo atajisomea kweli? Vivyo hivyo, kwa Raisi, na viongozi wengine wakuu, ukiwaahidi kwamba hawatashtakiwa, basi ujue watayatumia madaraka yao vibaya.
Mkuu,hapo mchokozi ni yupo kwa mujibu wa mleta uzi?1. kesi zinazomsubiri mahakamani ata-deal nazo vipi?
2. jamaa waliotaka kumuua atajilinda vipi wasimdhuru tena?
Tatizo lenu chadema mnadhani viongozi wenu wako sahihi wakati wote, huwezi kujua huko kwenye madaraka kuna nini mpaka ufike ndo utajishangaa ww mwenyewe unabadilisha msimamo
Dada dudumizi09 . Ushauri wako no. 4 haufai na hata zingine zina mushkel. TAL hakuwahi kuwa mtoro wa nchi hii mpaka mlipodhamiria kumuua. Na wenye dhamana na ulinzi & upelelezi wa kesi yake. Wanailemaza maksudically . Waliodhamiria kumuua wengine bado wanayo mamlaka na hawakuwajibishwa. Atarudi Je?!. Tofautisha wakati wa uchaguzi alikuwa akilindwa na Tiss. Leo hana ulinzi mdomoni mwa mamba wenye kiu na damu yake .Kwanza kabisa napenda kuwasalim wana jf wenzangu mliopo humu. Ama baada ya salam, niende sasa kwenye mada. Ndugu zang leo nimekuja na ushauri, au njia mbadala itakayomsaidia ndugu yetu Lisu na chama chake kuingia Ikulu kiulaini kabisa bila kutumia katiba mpya, tume huru, wala maandamano yoyote yasiokuwa na tija. Njia hizo ni...
(1) Kwanza arudi nchini kukijenga chama na kuendeleza mapambano ya hoja, na kusimamia sera za chama kikamilifu ili kutupa imani kuwa mpambanaji wetu kaamua kusimama na sisi katika nyakati zote za shida na raha kama vile kina mzee Nelson Mandela, Robert Mugabe, Hakainde Hichilema na wengine wa aina hiyo ambao waliweza kupata ushindi wa kuongoza nchi zao kupitia sera zao na mapambano yao ya ndani.
(2) Abadili aina ya siasa zake kutoka katika siasa za chuki, hasira na visasi, hadi katika siasa za upendo, umoja, mshikamano na uvumilivu. Haiwezekani ugomvi wake na hayati Magufuli, au ugomvi wa chama chake na CCM uufanye kuwa ugomvi wa taifa. Yan aufanye ni ugomvi wa watanzania wote dhidi yake au dhidi ya chama chake. Mpaka kufikia hatua ya kuwaomba wafadhili wetu watunyime kabisa misaada ya pesa ambazo huwa zinasaidia kuboresha elimu yetu kwa manufaa ya watoto wetu, au kusaidia kununua madawa kwa ajili ya afya zetu na za watoto wetu nk.. Kibaya zaidi alitaka tuwekewe na vikwazo, ili sisi wenzangu na mimi tusijaribu hata kupata fursa ya kufanya biashara zetu nje ya mipaka ya nchi yetu. Hii ilishangaza sana watanzania kuona mtu mwenye elimu kama Lisu anawezaje kufanya maamuzi ya kipuuzi, na kikatili kwa nchi yako na watanzania wenzako namna ile. Omba msamaha kwa hili, nina imani utasamehewa na kura utapewa.
(3) Ajaribu kuwa na misimamo thabiti isiyoyumbishwa na mtu yoyote, mwenye chochote. Sio leo atuambie hivi afu kesho abadilishe kauli yake atuambie vile, hiyo ni sawa na unafiki, uongo au uzushi. Lazima ajue kuwa siku zote ukweli hujenga, na uongo hubomoa.
(4) Awaombe msamaha wanachadema na watanzania waliomuamini, kwa kitendo chake cha kuwadanganya, na kuwachukulia kama wao ni maboya wasioweza kutumia hata kilo nzima ya akili zao kujua ukweli na uongo wa kauli zake, kama tunavyoona pichani.
(5) Mwisho namshauri ili aweze kujenga siasa zenye malengo, basi akamtafute ndugu Hakainde Hichilema amfunze siasa za kweli. Huu ndio ujumbe wangu kwake, najua hapa kuna wapambe wake watamfikishia. Unajua dunia ya sasa mtu anaweza asikupe chakula, lakini akakuonesha njia nzuri ya kukipata hicho chakula. Na kuna mtu anaweza akakupa chakula lakini akakataa kata kata kukuonesha njia ya kukipata hicho chakula.
Asanteni sana!
Mda wa kubembeleza umepitwa na wakati ,ila jua katiba inakuja hakuna wa KUZUIA asema bwana, Mbowe atatoka iwe mvua au jua, ilisha kuwa , labda Kama mungu anitumiaye amesinzia, kitu ambacho hakiwezi kuaNa kwa kuwa mwenye uwezo wa kuiruhusu katiba ni rais bc nae amesema msubiri muda muafaka
Ataomba ulinzi serikalini, na serikali itamlinda bila wasi wasi. Kuhusu ishu ya case hayo ni mambo ya mahakama, kama kesi inayomkabili haina ushahidi basi atashinda tu wala haina haja ya kuukwepa mkono wa sheria.1. kesi zinazomsubiri mahakamani ata-deal nazo vipi?
2. jamaa waliotaka kumuua atajilinda vipi wasimdhuru tena?