a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Katika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba.
Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini.
Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita mitime na manabii ,na MAFARISAYO WOTE waliokalia kiti cha Musa na kubeba fimbo ya HARUNI na kukaa viti vya mbele.
HOJA yangu ni kwamba IMANI bila matendo imekufa kwa maana ya kwamba ,mtu mmoja atasema ninayo IMANI mwingine atasema ninayo IMANI kwa matendo ,haya nionyeshe imani yako nami nikuoyeshe imani yangu kwa matendo..
MITUME na manabii wote wa kwenye BIBLIA ,WALIKEMEA MAOVU,waliwaonya WAFALME WALIPOFANYA UOVU.
LAKINI LEO MITUME NA MANABII maaskofu na mapadre wamegeuka kuwa MACHAWA.
NAONA Lissu NDIO ZAIDI HATA YA hao viongozi wa dini.
Lissu NI MTAKATIFU wa Mungu ,mpakwa mafuta wa Mungu ,amebeba kusudi kubwa la Mungu ndani yake ,ni zaidi ya nabii.
NI muijiza unaotembea,UWEOO WA NGUVU ZA MUNGU upo pamoja na LISU.
Jeshi la malaika wa Mungu wanamlinda LISU.
Kama Mungu aishivyo..LISU ataishi kutimiza lile kusudi la Mungu aliloliweka ndani yake.