Lissu katika kutetea haki ni amewazidi, zaidi ya maaskofu, mapadre, wachungaji, mitume na manabii(viongozi wa dini)

Lissu katika kutetea haki ni amewazidi, zaidi ya maaskofu, mapadre, wachungaji, mitume na manabii(viongozi wa dini)

Lissu ni mkweli, na integrity yake iko juu sana.

Isingekuwa hivyo maCCM wangemuangusha zamani sana.
UMENENA VYEMA
Kwa mtazamo wa kiroho..ipo nguvu ya ROHO inyomuongoza kutenda mema ,binadamu anapozaliwa anakuwa na ROHO za aina mbili roho za mashwetwani na roho za malaika.

mashwetwani yanakuongoza kufanya MAOVU mabaya ukatili na ifirauni

Malaika wanakuongoza kutenda mema.

KADIRI unavyotii ROHO moja nyingine inapungua nguvu kwa mfano mchawi ,jambazi muuaji ,..Roho ya mapepo ndiyo ime dominate.

KWA LISU ALIPOFIKIA kwa matendo yake
ROHO ZA MALAIKA watakatifu,na uwepo wa nguvu za MUNGU ndio umedominate na maombi ya watakatifu wanaomuombea

na kifupi LISU NI CHOOSEN ONE toka alipozaliwq MUNGU aliweka kusudi ndani yake
nguvu za Mungu zinazomzunguka LISU ni kubwa sana ,
NA kadiri wanavyozidi kumtendea maovu na kumuumiza NDIVYO MUNGU anamuongezea nguvu..na thawabu na kadiri watu DUNIA nzima wanavyomuombea kwa machozi..ndivyo nguvu za Mungu zinaongezeka.
Mtu yeyote anayemfanyia UOVU LISU hatakuwa salama ,kwa sababu Lisu ni CHOOSEN ONE MTEULE WA MUNGU.
na wote wanaomfanyia ubaya ubaya huo utawarudia wao na familia zao.

ogopa sana kumtendea UBAYA mwenye HAKI WA MUNGU innocent choosen one
Mtu anayeombewa mema na maelfu kama ya watakatifu duniani.

na hata ukimtupa kwenye tanuru la moto ama gerezani hupageuza bustani kama 5 stars hoteli.
 
na hata ukisema umuue hafi,unakufa wewe unayetaka kumuua kwa sababu CHOOSEN ONE anakindwa kwa ukarubu sana na nguvu ya Mungu,Mungu anaangalia lile kisudi aliloliweka ndani yake CHoosen one mpaka litimie...

Kama wangekuwa na akili watesi wa Lisu wangejifunza kwa ,ile mvua ya marisasi aliyomiminiwa lakini ..hakufa..kama walivyomkusudia ,kwa kuwa Mungu ana makusudi na maisha ya LISU.
 

Attachments

  • 2020_07_30_15_28_IMG_8133.JPG
    2020_07_30_15_28_IMG_8133.JPG
    21 KB · Views: 10
  • 2020_07_30_15_29_IMG_8135.JPG
    2020_07_30_15_29_IMG_8135.JPG
    9.5 KB · Views: 7
Ni ngumu kuamini kuwa uimara wa Lisu katika kuitafuta haki, kuwatetea wanadamu, kuvumilia mateso, kukataa hongo za vyeo na pesa, kuwa ni nguvu yake binafsi! Hakika ndani yake kuna nguvu isiyo ya kibinadamu. Na mwenye kupigana na nguvu hiyo takatifu, ni lazima aanguke.

Tunaendekea kumshukuru Mungu kwaajili ya Tungu Lisu,mtu aliyejaa upendo wa kweli kwao wanaodhulumiwa na kuonewa na mawakala wa shetani.
 
Ni ngumu kuamini kuwa uimara wa Lisu katika kuitafuta haki, kuwatetea wanadamu, kuvumilia mateso, kukataa hongo za vyeo na pesa, kuwa ni nguvu yake binafsi! Hakika ndani yake kuna nguvu isiyo ya kibinadamu. Na mwenye kupigana na nguvu hiyo takatifu, ni lazima aanguke.

Tunaendekea kumshukuru Mungu kwaajili ya Tungu Lisu,mtu aliyejaa upendo wa kweli kwao wanaodhulumiwa na kuonewa na mawakala wa shetani.
Ndani mwake kuna Roho wa Mungu isiyoishi pamoja na wanadamu
 
Cha ajabu Lissu hata siku moja sijawahi kumsikia akisema bwana asifiwe ila walokole mnamuharibia sana
 
Lissu anamsifu moyoni kwa matendo sio maneno kama Mwamsapo
Basi waambie hao walokole waliojazana chadema siku hizi kwenye mikutano yao kila saa unasikia bwana asifiwe mara tusali sala ya maria
 
kiongozi akiwa wa dini yako unafaidikaje? zaidi ya ushabiki wa simba na yanga?mafuta yakipanda bei ukaenda sheli na boda bida yako au bajaji..utapunguziwa bei kwa sababu wewe una dini moja na raisi?
nchi ikiwekewa vikwazo vya kiuchumi dini yako itakusaidia nini?
viongozi wengi wakirundikana wa dini moja serikalini wanakusaidia nini mwananchi wa kawaida?

yaliyotokea ni watu wa dini moja ti ndio waliopotea hatuko nao? si dini zote walipotezewa.

PROPAGANDA ZA UDINI ZILIFELI,HATUDANGANYIKI sisi bado ni wamoja hakuna wa kutugawa kwa itikadi za dini na ukabila.
 
Kwa uwanaharakati sawa.

Ila hana talanta ya uongozi.

Popote alipokwenda kuwa kiongozi alipavuruga.

TLS ipo hoi.

Sasa Chadema ipo juu ya mawe .
 
Kwa uwanaharakati sawa.

Ila hana talanta ya uongozi.

Popote alipokwenda kuwa kiongozi alipavuruga.

TLS ipo hoi.

Sasa Chadema ipo juu ya mawe .

Pole sana. Inaonekana una matatizo makubwa ya kiakili.

Kwa yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa kuwa CJADEMA kwa wkati huu ipo kwenye peak ya ubora. Ndiyo maana kwa sasa, watu wote, wanaoiunga mkono na wasioiunga mkono, wanaiongelea.
 
Pole sana. Inaonekana una matatizo makubwa ya kiakili.

Kwa yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa kuwa CJADEMA kwa wkati huu ipo kwenye peak ya ubora. Ndiyo maana kwa sasa, watu wote, wanaoiunga mkono na wasioiunga mkono, wanaiongelea.
Ubora katika upumbavu nadhani

Maana mpaka sasa chama hakina stable source of income.

Mwenyekiti wake yupo mahabusu mwaka sasa.

Wale vigogo wakubwa wamejitenga nacho.

Makamu mwenyekiti anatuhuma za ufisadi.

Ni mvurugano wa mambo mengi ambayo kwakweli hakuna mtu reasonable atataka kujihusisha nacho kama chama ambacho anaona kinaweza shika dola , kulipeleka taifa katika njia sahihi.

Kushika dola sio kuzungusha ngumi mahakamani na kutochana nywele ni zaidi ya hapo.
 
Katika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba.

Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini.

Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita mitime na manabii ,na MAFARISAYO WOTE waliokalia kiti cha Musa na kubeba fimbo ya HARUNI na kukaa viti vya mbele.

HOJA yangu ni kwamba IMANI bila matendo imekufa kwa maana ya kwamba ,mtu mmoja atasema ninayo IMANI mwingine atasema ninayo IMANI kwa matendo ,haya nionyeshe imani yako nami nikuoyeshe imani yangu kwa matendo..

MITUME na manabii wote wa kwenye BIBLIA ,WALIKEMEA MAOVU,waliwaonya WAFALME WALIPOFANYA UOVU.

LAKINI LEO MITUME NA MANABII maaskofu na mapadre wamegeuka kuwa MACHAWA.

NAONA Lissu NDIO ZAIDI HATA YA hao viongozi wa dini.

Lissu NI MTAKATIFU wa Mungu ,mpakwa mafuta wa Mungu ,amebeba kusudi kubwa la Mungu ndani yake ,ni zaidi ya nabii.

NI muijiza unaotembea,UWEOO WA NGUVU ZA MUNGU upo pamoja na LISU.

Jeshi la malaika wa Mungu wanamlinda LISU.

Kama Mungu aishivyo..LISU ataishi kutimiza lile kusudi la Mungu aliloliweka ndani yake.
AMEEEN! kubwa
 
Back
Top Bottom