a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
KILA BINADAMU ANAPOZALIWA MUNGU HUMPA MALAIKA WAKE WA KUMLINDA
LISU analindwa na NGUVU ZA MUNGU ,malaika wa Mungu wanamzunguka LISU usiku na mchana.
mabaya hayatampata yeye LISU wala ugonjwa hautaikaribia hema yake sawa sawa na ZABURI 91
Kwa jina la Yesu .🙏
sasa ina make sense kuna uwepo wa watakatifu wa Mungu wengi ambao hawajavaa MAJOHO,wala KANZU wala KOFIA ya Uongozi wa dini wala hawajabeba fimbo ya MUSA na HARUNI lakini ni watakatifu kuliko MAFARISAYO waliokalia KITI CHA MUSA lakini MIOYO YAO iko mbali na HAKI wanaogopa hata kutamka neno HAKI.
Huku wakitambua Mungu wanayemuabudu anaitwa MUNGU WA HAKI
na HAKI HUINUA TAIFA
Kama Nyerere na matendo yake yoote Yuko kwenye process ya kutwajwa mwenye Heri basi Mwenyezi Mungu atakuwa cha kumzawadia Mh Tundu LissuKatika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba.
Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini.
Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita mitime na manabii ,na MAFARISAYO WOTE waliokalia kiti cha Musa na kubeba fimbo ya HARUNI na kukaa viti vya mbele.
HOJA yangu ni kwamba IMANI bila matendo imekufa kwa maana ya kwamba ,mtu mmoja atasema ninayo IMANI mwingine atasema ninayo IMANI kwa matendo ,haya nionyeshe imani yako nami nikuoyeshe imani yangu kwa matendo..
MITUME na manabii wote wa kwenye BIBLIA ,WALIKEMEA MAOVU,waliwaonya WAFALME WALIPOFANYA UOVU.
LAKINI LEO MITUME NA MANABII maaskofu na mapadre wamegeuka kuwa MACHAWA.
NAONA Lissu NDIO ZAIDI HATA YA hao viongozi wa dini.
Lissu NI MTAKATIFU wa Mungu ,mpakwa mafuta wa Mungu ,amebeba kusudi kubwa la Mungu ndani yake ,ni zaidi ya nabii.
NI muijiza unaotembea,UWEOO WA NGUVU ZA MUNGU upo pamoja na LISU.
Jeshi la malaika wa Mungu wanamlinda LISU.
Kama Mungu aishivyo..LISU ataishi kutimiza lile kusudi la Mungu aliloliweka ndani yake.
Tundu Lissu ukimwela kwenye mizani ya Haki, Upendo, Amani na Umoja amevukaa level zote(standards)Kiukweli binadamu kama Lisu ni mara chache sana kutokea. Mungu amtunze na huyu ndo anastahili kupewa sadaka ya bwana na zaka kuliko wale mitume, manabii, mashekhe, wachungaji, maaskofu na mapadre.
Anatumikia watu kwa utukufu uliotukuka licha ya mateso na manyanyaso.
📌Tundu Lissu ukimwela kwenye mizani ya Haki, Upendo, Amani na Umoja amevukaa level zote(standards)
Akakutibu afya yako haisomi vyema?Wahi hospitali.