a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
- Thread starter
-
- #21
UMENENA VYEMALissu ni mkweli, na integrity yake iko juu sana.
Isingekuwa hivyo maCCM wangemuangusha zamani sana.
Nchi hii ukinyooka unyooke kweli kweliLissu ni mkweli, na integrity yake iko juu sana.
Isingekuwa hivyo maCCM wangemuangusha zamani sana.
Ndani mwake kuna Roho wa Mungu isiyoishi pamoja na wanadamuNi ngumu kuamini kuwa uimara wa Lisu katika kuitafuta haki, kuwatetea wanadamu, kuvumilia mateso, kukataa hongo za vyeo na pesa, kuwa ni nguvu yake binafsi! Hakika ndani yake kuna nguvu isiyo ya kibinadamu. Na mwenye kupigana na nguvu hiyo takatifu, ni lazima aanguke.
Tunaendekea kumshukuru Mungu kwaajili ya Tungu Lisu,mtu aliyejaa upendo wa kweli kwao wanaodhulumiwa na kuonewa na mawakala wa shetani.
Lissu anamsifu moyoni kwa matendo sio maneno kama MwamsapoCha ajabu Lissu hata siku moja sijawahi kumsikia akisema bwana asifiwe ila walokole mnamuharibia sana
Basi waambie hao walokole waliojazana chadema siku hizi kwenye mikutano yao kila saa unasikia bwana asifiwe mara tusali sala ya mariaLissu anamsifu moyoni kwa matendo sio maneno kama Mwamsapo
Udini ulishafeli kuangusha Chadema kawaulize akina ZittoBasi waambie hao walokole waliojazana chadema siku hizi kwenye mikutano yao kila saa unasikia bwana asifiwe mara tusali sala ya maria
Wengi wanaojiita Manabii, Mitume na Masheikh ni MATAPELI.
Chadema wanapita mulemule alipopita CUF kipindi kileUdini ulishafeli kuangusha Chadema kawaulize akina Zitto
Sahihi la sivyo watapata cha kuku-blackmail nacho.Nchi hii ukinyooka unyooke kweli kweli
Mzee wa MIGAKwa uwanaharakati sawa.
Ila hana talanta ya uongozi.
Popote alipokwenda kuwa kiongozi alipavuruga.
TLS ipo hoi.
Sasa Chadema ipo juu ya mawe .
Kwa uwanaharakati sawa.
Ila hana talanta ya uongozi.
Popote alipokwenda kuwa kiongozi alipavuruga.
TLS ipo hoi.
Sasa Chadema ipo juu ya mawe .
Ubora katika upumbavu nadhaniPole sana. Inaonekana una matatizo makubwa ya kiakili.
Kwa yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa kuwa CJADEMA kwa wkati huu ipo kwenye peak ya ubora. Ndiyo maana kwa sasa, watu wote, wanaoiunga mkono na wasioiunga mkono, wanaiongelea.
AMEEEN! kubwaKatika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba.
Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini.
Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita mitime na manabii ,na MAFARISAYO WOTE waliokalia kiti cha Musa na kubeba fimbo ya HARUNI na kukaa viti vya mbele.
HOJA yangu ni kwamba IMANI bila matendo imekufa kwa maana ya kwamba ,mtu mmoja atasema ninayo IMANI mwingine atasema ninayo IMANI kwa matendo ,haya nionyeshe imani yako nami nikuoyeshe imani yangu kwa matendo..
MITUME na manabii wote wa kwenye BIBLIA ,WALIKEMEA MAOVU,waliwaonya WAFALME WALIPOFANYA UOVU.
LAKINI LEO MITUME NA MANABII maaskofu na mapadre wamegeuka kuwa MACHAWA.
NAONA Lissu NDIO ZAIDI HATA YA hao viongozi wa dini.
Lissu NI MTAKATIFU wa Mungu ,mpakwa mafuta wa Mungu ,amebeba kusudi kubwa la Mungu ndani yake ,ni zaidi ya nabii.
NI muijiza unaotembea,UWEOO WA NGUVU ZA MUNGU upo pamoja na LISU.
Jeshi la malaika wa Mungu wanamlinda LISU.
Kama Mungu aishivyo..LISU ataishi kutimiza lile kusudi la Mungu aliloliweka ndani yake.