Lissu kiboko ya majinga majinga ya ccm hasa yanayoenda usiku gerezani.

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
Unaambiwa lile genge la watekaji,wafiraji,mafisadi na marcatel ya mafuta yamekuwa yakituma makuwadi yao huko gerezani kwa lengo la kuomba msamaha kwa lissu ili atakapotoka asiwe na msimamo mkali badala yake awe kama kina mbowe na kwamba wamemuahidi mabillion ya pesa. Lakini cha kushangaza lissu amewajibu kuwa yeye hana shida na mabillion yao badala yake katiba mpya itungwe na tume huru ya uchaguzi iwekwe kwenye katiba husika na amewambia watu kutekwa na kuuwawa tabia hiyo ikome. Baada ya kuwambia hivyo makuwadi yakaondoka ndio maana jana ametoa kauli kwa lugha ya ukali pale mahakamani.
NB: Lissu sio level ya mbowe hata nusu na kama chadema wangefahamu mapema wangemchagua hata kabla ya kupigwa risasi na bashite na genge lake kule Area D.
 
Kwakweli maisha yalinifundisha kutarajia yasiyotarajiwa wakati una enjoy the current moments...Hakuna anayeamini mpaka sasa kuwa Mbowe kashuka heshima kiasi hiki. Kawa takataka malaya kahaba wa kisiasa wazi waz, sema ni kama wale malaya wa kishua yan kama hajiuzi kumbe kuna code zake za kufika bei.

Haya yoote ni Lissu kaja kutufunulia macho. Mateso ya Lissu yana lipa gharama ya kutuonyesha mambo mengi sana katika angle tofaut tofauti uhalisia wa mambo ulivyo. Na bado kuna mengi sana naamini tutayashuhudia.

Ni kiukweli mimi sitashamgazwa kama Lissu watamuhukum kunyongwa au kifungo cha miaka mingi mnooo. Sitashangaa na nimejiandaa kulipokea hili.
Kwa haya ambayo ametufungua macho kama taifa kiukweli gharama yake ni kubwa sana atalipa.
 

Mnooo
 
Ndio maana Awamu ile walimtwanga Risasi Afe, kwani mahakamani wasinge muweza na wanamjua hanunuliki.
Awamu hii wamejichanganya kumpeleka Mahakamani, anaivua nguo Taasisi ya mahakama na watu wake, pia anaonesha umma, uchafu na ukiritimba was Serikali na Dola ya nchi hii.
Go Lissu, TAL ni m1 tuu.
 

Awamu ya sita imempekeleka Lissu uwanja wa nyumbani 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…