Tetesi: Lissu kufanya mapinduzi CHADEMA kuwavuta Mwabukusi, Dkt Slaa na Mpina

Acha mipasho kama upo chitchat. Ninekuambia unapoandika habari zenye kuvuta hisia za watu punguza ujinga na andika kitu kikicho sahihi
Ndio maana nilikuambia vile nawe upunguze ujinga!
 
Mtakufa nyie CHADEMA mpango wa Mungu.
 
Binafsi naona nchi ya Tanzania inahitaji ukombozi wa awamu ya pili baada ya ukombozi kutoka kwa mkoloni Mwingereza.

Lisu anatakiwa kuwa Mwenyekiti na Mboye atulie au akagombee ubunge.

CHADEMA wakiendesha siasa za kiharakati, hakika nchi itapata maendeleo kwa sababu CCM wanahitaji kuchangamshwa ili walete maendeleo.

Simaanishi nataka vita, la hasha, nataka siasa za kiharakati mfano kuikosoa serikali wazi wazi, maandamano serikali inapolala nk. Hii itawafanya viongozi wa CCM kushughulikia kero za wananchi!
 



Lisu na Dr Slaa? Labda ni Lisa umekosea spellings
 
Wakimchukua na MPINA watakuwa wamefanya la maana sana. Mpina ni Bonge la STRIKER ๐Ÿ˜€
 
Ninawajua lakini siwasujudii. Huenda kwakuwa ww unasujudia viongozi wa ccm, basi unadhani Kila mtu ana udhaifu kama wako.
Bwana mdogo Tindo ungeniambia sio mfuasi wa chadema ningekuamini huna udhaifu huo lakini mpaka muda huu upo ndani ya koti la Mbowe!
 
Hata ikiwezekana washike dola ila tatizo lipo kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo!
 
Kipara bila akili ni Sawa tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ