Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.