Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Mnashiriki vipi uchaguzi bila Katiba Mpya yenye kuweka kanuni na taratibu za kuwapata wajumbe wa Tume ya Taifa Uchaguzi??Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
Au mnafikiri hiyo Tume aliyoiteua Rais ni Tume huru?