Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kamanda UshachokaMwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenhe mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisaiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi
Ubwela ni neno la kizaramo linalomaanisha " umerejea".Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Gombea wewe basi ulete mabadiliko.Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenhe mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisaiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi
Kwa nini na wewe usigombee? Kwani umenyimwa?Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
Anawanyimaje haki? Kwani unalazimishwa kumchagua?Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
Kuna kitu kinaitwa "conscience" au kiswahili tuite "utashi"; hili nilisoma muda mrefu sana nilipokuwa mdogo, lakini hadi leo nakumbuka. Kwenye katekisimu ya mafunzo ya kikatoliki lazima ufunzwe hii. Catechism. Mnyama na binadamu au Mbwa na binadamu wanatofautiana nini? Sikujua kabisa mie nilifikiri ati Mbwa hana akili binadamu anazo. Sister yule aliuliza tukashindwa wote mwishowe akatoa jibu. Akasema "Conscience", akamaliza kwa kutafsiri kuwa ni utashi. Binadamu anajua anavyofanya kosa, mbwa hajui kosa. Simba au mnyama yoyote yule.Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
Sasa huyu lisu kusema yeye ndie mgombea uraisi mwaka kesho. Kwani kwenye chadema wamesha fanya mchakato wa kumpata mgombe uraisi kwa chama chao? Na kama ni ndio, jeee kwenye chama chake alichuana na nani mpaka ataibuka kidedea na kuwa mgombea wa uraisi kwa tiketi ya chadema?Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
"Hamuwezi" nyie nani?Ni kweli kabisa, hatuwezi kuwapa CDM nchi waifanyie majaribio
Kama hajafanya hivyo atapataje pesa za wafadhli?Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
Unachekesha dogo Sasa unamlaumu lisu badala ya walioleta hayo matatizoMwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
Watanzania"Hamuwezi" nyie nani?
Nadhani alipata ulemavu na sidhani kama mlemavu ataweza majukumu ya rais kama kukagua magwaride etc
Bora agombee yule DJ zero brain aliepigwa na kuanguka kwa ulevi kule Dom akiwa na mchepuko Joyce akasingizia majambawazi!!
Mkuu kama na huyu una mponda hivyo, basi nawe unawalakini.Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili linahitaji mtu ambae yupo serious kuwakomboa Watanzania. Sio mtu wa drama za kisiasa. Kama Lissu akigombea basi tutakuwa tumebugi.
Kwani wewe umekatazwa? Au hauko serious?Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi