Pre GE2025 Lissu kugombea urais 2025 ni kutwanga maji kwenye kinu na kuwanyima haki Watanzania wapenda mabadiliko

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mnashiriki vipi uchaguzi bila Katiba Mpya yenye kuweka kanuni na taratibu za kuwapata wajumbe wa Tume ya Taifa Uchaguzi??
Au mnafikiri hiyo Tume aliyoiteua Rais ni Tume huru?
 
Nadhani alipata ulemavu na sidhani kama mlemavu ataweza majukumu ya rais kama kukagua magwaride etc

Bora agombee yule DJ zero brain aliepigwa na kuanguka kwa ulevi kule Dom akiwa na mchepuko Joyce akasingizia majambawazi!!
Comment zinanivunja mbavuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wasi wasi wenu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…