Huku Idodomya pia hakuna umeme!Tunasubiri kwa hamu changamoto ni hawa ndugu zetu TANESCO mtaani kwetu wameukata tangu saa kumi na mbili jioni! Incase nikamiss naomba kujua kama huwa kuna marudio ya hicho kipindi!!!!
Huku Idodomya pia hakuna umeme
TIME PLEASETunasubiri kwa hamu changamoto ni hawa ndugu zetu TANESCO mtaani kwetu wameukata tangu saa kumi na mbili jioni! Incase nikamiss naomba kujua kama huwa kuna marudio ya hicho kipindi!!!!
Dialo anajitambua hakunaga wa kumtishia NyauIwapo hakitakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lisu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.[emoji173][emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
kama waliweza kumhoji Lema majuzi, sishangai ya Lissu kupitaIwapo hakitakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lisu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.[emoji173][emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa taarifa, hii sio ya ku miss!.Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu.
Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.
Naunga mkono hojaIwapo hakitakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lisu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.[emoji173][emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa..Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu.
Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.