Lissu kuhojiwa na kituo cha Star Tv usiku wa leo Februari 12, 2024

Lissu kuhojiwa na kituo cha Star Tv usiku wa leo Februari 12, 2024

Aiseee DSTv wanakera sana. Yaani chaneli imenadika video unavailable

Shida ipo wapi
 
Aiseee DSTv wanakera sana. Yaani chaneli imenadika video unavailable

Shida ipo wapi
 
TIME PLEASE
[/QUOT

Kuanzia saa 3:30 usiku huu. Hii ni iwapo hakutakuwa na mabadiliko yaliyo nje ya kituo hicho, au mizengwe ya maagizo toka juu.
 
Huu umeme ni ukhanithi mtupu. Kapewa sukuma gang wizara lakini ni porojo as usual.
 
Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.
Kumetokea mabadiliko, leo wanapiga repeat ya last week's prog.
P
 
Huyu ndio Lissu wa kikwenu?

20240212_214011.jpg
 
Kumetokea mabadiliko, leo wanapiga repeat ya last week prog.
P

Huyo mtozi anatoa excuse gani? Au ndio Yale yale ya maagizo toka juu, au ndio mambo ya ratiba za waswahili? Mpigie maana ww una simu yake aseme Nini shida.
 
Kwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu.

Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.
Tupatie na mrejesho mkuu
 
Back
Top Bottom