Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana kada Pascal Mayalla akapata kipindi kwenye channel yao ya CCMHiyo channel si ni mali ya CCM.
Genge la majambazi na wapora rasilimali za nchiChama au genge la majizi ya kura?
Sawa. Mwalike lakini usimhoji "maswali kutoka juu".Hapana, mimi sio chawa, nitamwalika.
P
nilimwambia Mke wangu aendelee tu kutazama Pazia na jua kali.Lisu alikuwa msibani nyumbani kwa Lowassa asingeweza kuwahi Ndege
Mimi ni an independent freelance journalist, situmwi na mtu yoyote!. Hata hili swaliSawa. Mwalike lakini usimhoji "maswali kutoka juu".
Mkuu Tipau, tpaul, sio nimepata kipindi kwao kwasababu ya ukada, kipindi ni changu na nalipia airtime. Fungu likishiba pia kitaruka ITV, TBC na Azam TV.Ndio maana kada Pascal Mayalla akapata kipindi kwenye channel yao ya CCM
Sawa mkuu. Bila shaka wewe utakuwa unanufaika kupitia matangazo (probably). Au umepata wafadhili mkuu? Hebu kwanza tuelewane vizuri. Unalipiaje kipindi ambacho hakikulipi?Mkuu Tipau, tpaul, sio nimepata kipindi kwao kwasababu ya ukada, kipindi ni changu na nalipia airtime. Fungu likishiba pia kitaruka ITV, TBC na Azam TV.
P
It's true, kwa nchi za wenzetu, TV TV Station zao wanalipa vizuri sana for talents, hata DSTV pia wanalipia talents, lakini kwa TV zetu, wewe unaepeleka kipindi ndio unawalipa TV station kulipia airtime.Sawa mkuu. Bila shaka wewe utakuwa unanufaika kupitia matangazo (probably). Au umepata wafadhili mkuu? Hebu kwanza tuelewane vizuri. Unalipiaje kipindi ambacho hakikulipi?
Wamiliki wa TV (CCM) walipaswa wakulipe wewe kwa kuwaongezea thamani kwa walaji (viewers) na pia kuwaongezea thamani ya matangazo. Au mmemalizana kikada?
Mi nawapongeza hawa vijana wawili wanaoendesha kipindi cha The Big AgendaKwa mujibu wa mtangazaji wa Star TV Aloyce Nyanda wiki iliyopita, usiku huu saa tatu na nusu kwenye kipindi anachokiendesha kiitwacho Agenda, atafanya mahojiono na Tundu Lissu.
Iwapo hakutakuwa na mabadiliko ya ratiba hiyo, ama maagizo toka juu, tunategemea Lissu awe mubashara kwenye kipindi hicho. Tunatarajia kusikia mengi toka kwake.
Mkuu sasa wewe unajitolea fedha na muda just for the love of the profession? Hii ngumu kumeza aisee. There must be some earnings you are getting now or expecting to get in future. Sijawahi kusikia aina ya kujitolea kama hii ya kwako.It's true, kwa nchi za wenzetu, TV TV Station zao wanalipa vizuri sana for talents, hata DSTV pia wanalipia talents, lakini kwa TV zetu, wewe unaepeleka kipindi ndio unawalipa TV station kulipia airtime.
Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nina shughuli nyingine ya kuendesha maisha yangu, huu uandishi wa habari na utangazaji, najitolea tuu just for the love of it.
Karibu mitaa hii Je, Una Kipaji cha Utangazaji? Jinsi ya Kujiajiri Utayarishaji na Utangazaji Vipindi Vyako vya TV
P
Mimi ni philanthropist, nimesema na narudia tena na tena, ninayo shughuli ninayofanya kuendesha maisha yangu, uandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea na utangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nafanya bure kwa mapenzi tuu, na kwa kuongezea mimi sio mtangazaji tuu au mwandishi wa habari tuu, bali mimi pia ni wakili wa kujitegemea nako nafanya bure!.Mkuu sasa wewe unajitolea fedha na muda just for the love of the profession? Hii ngumu kumeza aisee. There must be some earnings you are getting now or expecting to get in future. Sijawahi kusikia aina ya kujitolea kama hii ya kwako.
Oh okayyMmoja anaendesha the big agenda, na mwingine anaendesha Medani za siasa.