jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Hatumuoni lissu hpaTupatie na mrejesho mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatumuoni lissu hpaTupatie na mrejesho mkuu
Sababu zinatolewa keshoHuyo mtozi anatoa excuse gani? Au ndio Yale yale ya maagizo toka juu, au ndio mambo ya ratiba za waswahili? Mpigie maana ww una simu yake aseme Nini shida.
Nyie CCM ni waoga sana, mnamuogopa Lissu utadhani anamiliki atomic bombsSababu zinatolewa kesho
P
Mkuu Paskali hebu jilipue umualike kwenye kipindi chako kule Channel Ten. Au nawe ni chawa unaogopa?Kumetokea mabadiliko, leo wanapiga repeat ya last week's prog.
P
MaCCM ndivyo yalivyoNyie CCM ni waoga sana, mnamuogopa Lissu utadhani anamiliki atomic bombs
Hapana, mimi sio chawa, nitamwalika.Mkuu Paskali hebu jilipue umualike kwenye kipindi chako kule Channel Ten. Au nawe ni chawa unaogopa?
Hiyo channel si ni mali ya CCM.Mkuu Paskali hebu jilipue umualike kwenye kipindi chako kule Channel Ten. Au nawe ni chawa unaogopa?
CCM hatufanani!. Waoga wapo, machawa wapo, na Wazalendo pia tupo!. Mimi ni CCM wa type hii,Nyie CCM ni waoga sana, mnamuogopa Lissu utadhani anamiliki atomic bombs
Yes japo ni kweli Channel Ten ni mali ya CCM, na mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi lakini kipindi changu ni independent, nitamwalika Lissu.Hiyo channel si ni mali ya CCM.
Anahojiwa kada wa CCMShukrani mkuu nimeiona
Bado kuna taarifa ya habari, mahojiano yanaanza sangapi mkuu pascal?
Lisu alikuwa msibani nyumbani kwa Lowassa asingeweza kuwahi NdegeTazama post namba 45, huyo jamaa anajuana na mtangazaji wa hicho kipindi, kasema sababu zitatolewa kesho za kipindi kutofanyika.
Kwa Tanzania, chama cha siasa kwa maana halisi ya chama cha siasa, chama ni kimoja tuu the one and only!.Anahojiwa kada wa CCM
TIME PLEASE