Lissu ni puppet wa mapebari na kwa sasa ni enemy No.1 wa Watanzania.Kama atapata muda wa kusoma JF nampa ushauri wa bure,aachane na vita hii mbaya aliyoamua kupigana dhidi ya Watanzania akishirikiana na mabepari na badala yake atafute shuhuli zingine za kufanya ambazo zitakuwa za manufaa zaidi kwake, familia yake na jamaa zake.Namhakikishia kwamba kama ataamua kuendelea na vita hii mbaya,he will not win,he will loose miserably.We ordinary Tanzanians are firmly united behind our president.
Mr.President,go,go,go,you are assured of our unwaivering support.