Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Hueleweki ww. Mohamedi ni nani na Sefu ni nani? Iwapo unamaanisha mkulu wa nchi..ninakutakia heri wewe na wenzako mnaopiga ramli za Lissu kuwaokoa kisiasa akiwa nje ya nchi. Kura za 2020 mtazipata kwa kukosoa utendaji wa serikali ya Jpm na siyo kwenda kujidhaalilisha kwa mabwana huko ulaya..
 
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..

Wala wasitegemee chochote hapo. Atapiga picha na kuweka kwenye mtandao baasi
 
Yeye uchwara mbona badala ya kupiga kazi anaishia kupambana na wapinzani??
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
 
Sasa kama wapinzani mmenunuliwa kuhujumu nchi na uchumi wake ulitaka afanyeje..ungekuwa wewe ni Rais na wapinzani wako kutwa kucha wanahamasisha watu kwa hila waandamane badala ya kujenga uchumi wa nchi kwa kuchapa kazi ww ungefanyaje..?
 
Tumia akili. Watu kama nyie na upeo wenu wa kufikiria ni mdogo sana. Kwa akili yako unafikiri kudai katiba yenye manufaa kwa watanzania wote bila kujali chama ni hila? Unavyofikiria wewe, serikali ikikosolewa basi huo uchochezi, hivi mnaakili nyie? Hivi umeshaanga nchi ngapi za Afrika zenye unafuu wa maendeleo na uhuru wa maoni ambayo imeanguka, ni ipi? Jifunze basi hata kwa kuangalia Kenya, wametuacha mbali sana pamoja na kwamba tumewazidi rasilimali. Mawazo finyu ya watu kama wewe, huwezi kufikiria beyond uccm. Huo uchumi unaojengwa na serikali ni upi? Mpaka leo elimu ya Tanzania ni duni kuliko elimu za nchi jirani, madawa bado ni shida hospitali, wapinzani wanapigwa risasi mchana kweupee halafu uko hapa unaongea utumbo.
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Mkuu nimedokezwa kwamba BBC watakuwa Live , je ni kweli ?
 
Km ni lazima mtu mmoja afe kw masirahi ya taifa,!!hakuna shida.hata kwenye kulitangaza kanisa kuna watu ilibidi wafe kw masirahi ya kanisa,hata mtume mohamed,kuna wakati alitumia nguvu ktk kueneza neno la morah
Jifunze kuandika basi dogo. Masirahi/Morah ndo vidude gani hivyo?
Unafikiri ukiua ndo unapata thawabu. Wewe unasali kweli!

Ndio tabu ya kuwa "Boot Licker", unabakiwa na akili ya kuchamba tu. It's pitiable and pathetic for a person of your calibre to claim sanity.
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Wewe uko wapi?
 
Uwe na akili ndogo bac ya hata kufuatilia namna nchi ya kenya unayoitaja jinsi inavyounyanyasa upinzani. Yule mjumbe wa Tume ya uchaguzi, EABC aliyeuliwa kikatili nani alihusika kama si hiyo serikali ya Kenya unayoisifia..au serikali ya Jpm ndo ilimmaliza..mbona hili husemi..ama umepigwa upofu na siasa uchwara..? Je, hiyo Kenya si ina katiba mnayodai ni bora?.Mbona wapinzani walitiwa viberiti baada na kaboa ya kuandamana siku ya uchaguzi mbona hamsemi mnakodolea tu srkl ya Tz..? Si bure..tunaamini mmenunuliwa kutuletea vurugu na huenda wengine ni wa nchi jirani mliopewa uraia kwa huruma ya srkl hii hii ya Ccm mnayoimwagia matusi ya nguoni..
 
Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Lissu ni puppet wa mapebari na kwa sasa ni enemy No.1 wa Watanzania.Kama atapata muda wa kusoma JF nampa ushauri wa bure,aachane na vita hii mbaya aliyoamua kupigana dhidi ya Watanzania akishirikiana na mabepari na badala yake atafute shuhuli mbadala za kufanya ambazo zitakuwa za manufaa zaidi kwake, familia yake na jamaa zake.Namhakikishia kwamba kama ataamua kuendelea na vita hii mbaya,he will not win,he will loose miserably.We ordinary Tanzanians are firmly united behind our president.
Mr.President,go,go,go,you are assured of our unwaivering support.
 
UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
Mhhh sina ubishi na hili la Lisu kuwa gwiji ila swali langu kina mzee Mwalusanya unamjua vizuri ?
 
Sasa kama wapinzani mmenunuliwa kuhujumu nchi na uchumi wake ulitaka afanyeje..ungekuwa wewe ni Rais na wapinzani wako kutwa kucha wanahamasisha watu kwa hila waandamane badala ya kujenga uchumi wa nchi kwa kuchapa kazi ww ungefanyaje..?
Vidikteta uchwara vyote dunia nzima hutumia visingizio kibao ohh uchochezi ooh hujuma ooh mawakala wa nje! Lakini havijawahi kufanikiwa wakiwemo Guadaf, Mobutu, Nguema, Idd amin, Sadam, na juzi babu yenu hapa kusini RG mugabe. Wote ni visingizio tuuuuu! Halafu wananchi wanawajua siku hizi kwa sababu ni wagonjwa wa akili.
 
378880.jpg
 
Huyo Lisu akutane na viongozi waandamizi wa ulaya kama nani yeye?? Acheni kuwadanganya watu yeye yupo pale kama mgonjwa wa kawaida tu na hospitali aliopo ni ya kawaida wala sio first class.wadanganyeni huko huko bongo watu wanaosoma magazeti ya udaku.
Hiyo hospital ya kawaida inaitwaje ?
 
Back
Top Bottom