mTanzania anaeweza kumshangilia mtu aliye ulaya aau ndani ya nchi lakini anajaribu kuifedhehesha nchi yake na kuitafutia mabaya ni wa kuogopwa sana na yamkini kumtenga mbali na nchi yetu.angekua ni raia wa Korea angejuta.waTanzania wenye kuelewa tuwe makini sana na watu kama hawa,adui anaetaka kuiondoa amani ya nchi anaweza kutumia hata wananchi wenyewe wenye uroho wa pesa kuichafua nchi yao na kuahidiwa makazi huko ughaibuni,ilimladi tu watu wafanye biashara zao.mtu unaenda kubwabwaja maneno ya mji wako kwa jirani au nyumba ya saba toka kwako unalalamikia familia yako badala ya kukaa ndani mwenu msemezane mpaka muelewane,mtu gani wa namna hii fedhuri.