Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Kwa Lissu na ile Brain yake supermade na alivyo na kumbukumbu vzr akiweka hoja zake ni mpumbavu tu ndiye atashindwa kuelewa. Go go go Lissu.
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA

Uwongo mkubwa. Kwani Lissu ni nani? Waziri Mkuu wa ubeligiji, Mkuu wa umoja wa Ulaya na speaker wa bunge, watu hawa wana kazi za maana za kudumisha umoja wa nchi za Ulaya ambao una hatari ya kutengana kwa Uingereza kujitowa. Zaidi ya hapo wana kazi ya kufuata shida za duniani ambazo zinaletwa na Rais wa Marekani kuvunja mkataba wa Irani wa nyukilia. Lissu ni nani? Lissu ni wakili uchwara ambaye anasikilizwa na watu wachache Tanzania wasioelewa siasa za dunia. Lissu amekwisha kisiasa, kizungu Kingi nani anamusikiliza. Nchi zote hizi zinawakiliswa na mabalozi wao, habari zote na sifa za Lissu wanazijuwa. Sifa za chama cha Chadema na kiongozi wa chama hicho wanazijuwa. Lissu angeongelea kodi ya nyumba ya mabilioni anayodaiwa Mbowe,. Ni kitu kidogo, lakini dosari kama hizo kinafanya chama kisiheshimiwe. Lissu hana lolote la kuitisha serikali ya Magufuli anapoteza Wakati wake na kujenga chuki., dunia Sasa ina mambo mengi ya maana kuliko ya Lissu aliyeshambuliwa na watu wasiojulikana.
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Hakuna haja ya kumuondowa, Hakuna anayemusiliza anaonekana mjinga na kiingereza uchwala. Huu ndiyo mwisho wa siasa zake za kijinga za kubwaka
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Mkuu kwa hiyo mlivyompiga Risasi si udhalilishaji.
Jaribu kufikiri nje ya box Mara moja moja.

Assailant mkubwa wewe!
 
Aliyeshindwa siasa za ndani hadi anafanya udikteta uchwara wa kuteka Watanzania kuwatesa na kuwaua ni nani?

Anayedharau sheria za nchi, katiba, mahakama, Bunge ni nani?

Aliyekosa sera na kuamua kuwanunua wachumia tumbo kwa pesa na vyeo ili wajibu na chama cha wahuni ni nani?



Acha kukurupuka na kuandika upuuzi humu.

Sasa ninaona sababu ya Masha na Misando kurudishwa CCM
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Kweli tupu!
Nimekumbuka ule wimbo wa zamani Enzi ya Kambarage!
BANDA WA MALAWI KATUVALIA NGOZI SIMBA KUTUTISHIA WATANZANIA
HATUJALI HATUJALI
AMINI WA UGANDA KATUVALIA NGOZI YA CHUI KUTUTISHIA WATANZANIA
HATUJALI HATUJALI
Kweli nakwambia hakuna kiumbee chochote ambacho kitajaribu kwenda kinyume na serikali yetu kikadumu maana tunalindwa na Mwenye Enzi Mungu mwenyewe!
Thubutu vije vimavi!
RAIS WETU MAGUFULI MAY HE REIGN!
 
HAKUPELEKWA UBELGIJI WAKATI ULE AKIWA CRITICAL
Huyo alishafanywa chambo akijilizeeee huko ulaya
Viongozi wake wapige bingo
 
Tusubiri yatakayojiri
Wazungu wanamwelewa Lisu vizuri kuwa ni mpiga deal iwe kupitia madini au bombardier.Ataishia kubwata tu.Ndio maana kelele zote za kutaka tunyimwe misaada na kutengwa na jumuiya ya kimataifa wazungu hawajamsikiliza they know him kuwa mpiga deal ayejificha kwenye siasa na koti LA uraisi wa chama cha wana sheria.Angekuwa Slaa wangemsikiliza.Lakini Lisu hana credibility
 
UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
Mwabasheria hupimwa kwa kesi hebu tuambie kesi IPI ya maana kubwa ya kihistoria aliyowahi shinda?
 
Back
Top Bottom