Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Jumuiya ya kimataifa INA maslahi mapana makubwa na Tanzania kuliko kichwa cha Lisu.Jumuiya ya kimataifa ichukue hatua Kisa kuna individuals watatu wanne wamepigwa nondo au risasi kwenye makalio na vibaka???!!!!!!
 
Kwanini unahofia vikwazo vya uchumi wakati tuko na good governance mkuu!
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Kuna muda mtu mjinga kama Lissu unaamua ukufuru mungu kwa kumuombea mabaya tu. Huwezi kukaa unaidhalilisha tu nchi yako. Halafu kila siku unaituhumu serikali inahusika na kukushambulia then unataka serikali hiyo iwe jirani na wewe,serikali hiyo itakuwa ya mazezeta. Lissu aachwe apambane mwenyewe,huwezi kubishana na serikali.
 
UCHUNGUZI HURU UMEBAINI KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHI
Haya mahaba sio bure, ngoja mkewe halali wa ndoa akusikie!
 
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Na wewe usifuatilie ya Lissu hayakuhusu mtu wa Lumumba street.
 
Uwongo mkubwa. Kwani Lissu ni nani? Waziri Mkuu wa ubeligiji, Mkuu wa umoja wa Ulaya na speaker wa bunge, watu hawa wana kazi za maana za kudumisha umoja wa nchi za Ulaya ambao una hatari ya kutengana kwa Uingereza kujitowa. Zaidi ya hapo wana kazi ya kufuata shida za duniani ambazo zinaletwa na Rais wa Marekani kuvunja mkataba wa Irani wa nyukilia. Lissu ni nani? Lissu ni wakili uchwara ambaye anasikilizwa na watu wachache Tanzania wasioelewa siasa za dunia. Lissu amekwisha kisiasa, kizungu Kingi nani anamusikiliza. Nchi zote hizi zinawakiliswa na mabalozi wao, habari zote na sifa za Lissu wanazijuwa. Sifa za chama cha Chadema na kiongozi wa chama hicho wanazijuwa. Lissu angeongelea kodi ya nyumba ya mabilioni anayodaiwa Mbowe,. Ni kitu kidogo, lakini dosari kama hizo kinafanya chama kisiheshimiwe. Lissu hana lolote la kuitisha serikali ya Magufuli anapoteza Wakati wake na kujenga chuki., dunia Sasa ina mambo mengi ya maana kuliko ya Lissu aliyeshambuliwa na watu wasiojulikana.
Mbona mmepanic sana.
Kwani hao waheshimiwa si wanaenda tu kumjulia hali ?.
 
Kuna muda mtu mjinga kama Lissu unaamua ukufuru mungu kwa kumuombea mabaya tu. Huwezi kukaa unaidhalilisha tu nchi yako. Halafu kila siku unaituhumu serikali inahusika na kukushambulia then unataka serikali hiyo iwe jirani na wewe,serikali hiyo itakuwa ya mazezeta. Lissu aachwe apambane mwenyewe,huwezi kubishana na serikali.
Utakufa wewe kibudu Lissu utamuacha
Jiulize risasi 38,ontearget 16 ila hakufa.
Mungu ana mpango na Lissu.
 
Utakufa wewe kibudu Lissu utamuacha
Jiulize risasi 38,ontearget 16 ila hakufa.
Mungu ana mpango na Lissu.
Ukiona hivyo ujue hakuna aliyetaka kumuua huyo. Watu wangetaka isingeshindikana.
 
Back
Top Bottom