Arafu baada ya hapo ni Manufaa gani tutapata sisi wananchi. Muda tu ndio utaamua kama Lisu ni Muhujumu au Mzalendo wa hii Nchi.Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arafu baada ya hapo ni Manufaa gani tutapata sisi wananchi. Muda tu ndio utaamua kama Lisu ni Muhujumu au Mzalendo wa hii Nchi.Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Hii itakuwa hatua nzuri kama kweli demokrasia haijaminywa nchini kwa nini kutumia nguvu kuwabanabana watu wasisema. Uzuri wa siasa hubadilika na watu huwachoka wanasiasa haraka sana. Unless wewe ni mwanasiasa mwenye mvuto na anayependa watu wake hapo hutopata shidaMhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Naona hata uamuzi wa kwenda Belgium kupata matibabu ulikuwa wa kimkakati maana unampa fursa ya kuonana na uongozi wa EU bila jasho.Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kazi gani inayofanyika zaidi ya kuwapa mimba mawaziri wa kike?
Km ni lazima mtu mmoja afe kw masirahi ya taifa,!!hakuna shida.hata kwenye kulitangaza kanisa kuna watu ilibidi wafe kw masirahi ya kanisa,hata mtume mohamed,kuna wakati alitumia nguvu ktk kueneza neno la morahAkili ndogo.
Namtakia kila la kheri kwani kwa namna anavyoongea, atawashawishi kukipa CDM misaada ambayo kwa sehemu fulani, baadhi ya wananchi (wanaCDM) watanufaika! Na hiyo itakuwa sehemu ya maendeleo!Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Nchi hii ni bora kuliko uhai wa mtu yeyote yule.Kwa hiyo nchi ni bora kuliko roho ya mtu? Kwamba mtu auawe kwa vile nchi imesemwa? Mbona nchi ipo miaka yote? Isemwe isisemwe! Nafikiri roho ya mtu ni bora kuliko nchi
Nchi ni bora kuliko roho ya mtu yeyote yule inatakiwa ulielewe hiloKwa hiyo nchi ni bora kuliko roho ya mtu? Kwamba mtu auawe kwa vile nchi imesemwa? Mbona nchi ipo miaka yote? Isemwe isisemwe! Nafikiri roho ya mtu ni bora kuliko nchi
Niona zimbabweeeeeeee....ROMA asante sana unastahili kuitwa nabii wa Mungu aliye hai.Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Hata mimi najiulizaItatusaidia nini?
Ndiyo ushangae ndugu yangu! !hivi ameenda kutibiwa au ameenda kwenye shughuli za kichama?
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
EU iiweke Tanzania vikwazo kama Zimbabwe kwa ajili ya Lisu?? Una akili za kushikiwa kweli wewe. Wazungu hawana interest yoyote na huyo mtu hio ya kuonana nae tu hayo ni matango pori mnalishwa. Oscar Kambona alikaa UK for more than 20 years na hakuna vikwazo vilivyowekwa ndio leo huyo tena yupo Belgium duh kweli kuna watu na viatu.Niona zimbabweeeeeeee....ROMA asante sana unastahili kuitwa nabii wa Mungu aliye hai.
Unajua shida wanayoipata Serikali ya Mohamedi? Sefu ameharibu mbaya na hali yaweza kuwa mbaya zaidi 2020. Sasa Lissu anaongeza makali! Usilete Mzaha kabisaKwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..