Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Arafu baada ya hapo ni Manufaa gani tutapata sisi wananchi. Muda tu ndio utaamua kama Lisu ni Muhujumu au Mzalendo wa hii Nchi.
 
Kama mbwayi ni mbwayi usifiche hata chembe kinachoendelea TZ
 
Asisahau kupiganao picha.ili apate kiki mitandaoni.
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Hii itakuwa hatua nzuri kama kweli demokrasia haijaminywa nchini kwa nini kutumia nguvu kuwabanabana watu wasisema. Uzuri wa siasa hubadilika na watu huwachoka wanasiasa haraka sana. Unless wewe ni mwanasiasa mwenye mvuto na anayependa watu wake hapo hutopata shida
 
Naon
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Naona hata uamuzi wa kwenda Belgium kupata matibabu ulikuwa wa kimkakati maana unampa fursa ya kuonana na uongozi wa EU bila jasho.
 
Kazi gani inayofanyika zaidi ya kuwapa mimba mawaziri wa kike?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa ulivyoandika tu sisi wenye nchi tumeona ww utanzania wako una mashaka mkubwa. Hiv ww unaamini utapata chama ama Rais ambaye ni malaika asiyefanya makosa? Eti zee lako..chama cha makinikia..kwa hiyo hao mabosi wako na chama chenu wakiingia ndo kila kitu kitakuwa muruwa ee..?
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Namtakia kila la kheri kwani kwa namna anavyoongea, atawashawishi kukipa CDM misaada ambayo kwa sehemu fulani, baadhi ya wananchi (wanaCDM) watanufaika! Na hiyo itakuwa sehemu ya maendeleo!
 
Kwa hiyo nchi ni bora kuliko roho ya mtu? Kwamba mtu auawe kwa vile nchi imesemwa? Mbona nchi ipo miaka yote? Isemwe isisemwe! Nafikiri roho ya mtu ni bora kuliko nchi
Nchi hii ni bora kuliko uhai wa mtu yeyote yule.
 
Kwa hiyo nchi ni bora kuliko roho ya mtu? Kwamba mtu auawe kwa vile nchi imesemwa? Mbona nchi ipo miaka yote? Isemwe isisemwe! Nafikiri roho ya mtu ni bora kuliko nchi
Nchi ni bora kuliko roho ya mtu yeyote yule inatakiwa ulielewe hilo
 
Aende tu. Yeye si wa kwanza.
Mbona kawaacha mabalozi wao huku? Lazima jamaa watawauliza wawakilishi wao so sio litakalo change. Mnadhani jamaa wana akili za kushikiwa km ..........
 
Hata south ya makaburu ilikuwa huru lakini iliwekewa vikwazo na jumuia za kimataifa ( ref, the long walk to freedom cha nrlson mandela .japo sina hakika kama unasoma chochote zaidi ya gazeti la uhuru na tazama tanzania) jinga wewe
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
 
Niona zimbabweeeeeeee....ROMA asante sana unastahili kuitwa nabii wa Mungu aliye hai.
EU iiweke Tanzania vikwazo kama Zimbabwe kwa ajili ya Lisu?? Una akili za kushikiwa kweli wewe. Wazungu hawana interest yoyote na huyo mtu hio ya kuonana nae tu hayo ni matango pori mnalishwa. Oscar Kambona alikaa UK for more than 20 years na hakuna vikwazo vilivyowekwa ndio leo huyo tena yupo Belgium duh kweli kuna watu na viatu.
 
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Unajua shida wanayoipata Serikali ya Mohamedi? Sefu ameharibu mbaya na hali yaweza kuwa mbaya zaidi 2020. Sasa Lissu anaongeza makali! Usilete Mzaha kabisa
 
Back
Top Bottom