Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
who is Lissu?
 
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa[/QUO
Hiki nacho kiwanda eti rip tz
 
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa[/QUOTES


Hiki nacho kiwanda eti rip tz
 
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa[/QUOSikTE]
Siku akipigwa baba yako na akili zitarudi.
 
Na kama ukoloni haswa ukirud tukatumikishwa na minyororo shingoni lisu na wenzake watakuwa wakitutandika viboko na kutubadirisha na risasi za kuipiga ccm
 
Maigizo yenu yalishaajulikana toka kitambo sana kuwa mlitaka kutengeneza hii movie ili muendelee kuichafua nchi hii ktk nyanja za kimataifa, huu ni uadui kama uadui mwingine Lissu hana tofauti na gaidi au mhujumu uchumi, mmetafuta madaraka kwa nguvu mmekosa sasa mmeamua kuwatumia mabeberu lkn hamtofanikiwa, mtu wa aina hii hata akifa ni nuksi imeondoka ni laana na fitna imeondoka katka jamii yetu, lengo la Lissu na chadema ni kuona Tanzania ikigeuka Zimbabwe ya Afrika Mashariki huyu ni adui yetu na ukifanikiwa kupambana nae ni kupambana maana unapata heshma kumuondoa nduli huyu, ngoja tuone mwisho wake lkn najua sio mzuri maana havumiliki hata kidogo haswa kwa wazalendo
 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Baada ya zile taarifa za Tanzania kuonywa kufanya biashara na N:Korea Tanzania ilifunga safari hadi Marekani kwenda kuomba msamaha, kwanini msinge potezea?

Hii ishue ya Lissu watakao umia ni raia wa hali ya chini, siyo rais... Sijui watanzania huwa wananufaika na nn wakiskia Tanzania imetengwa na jumuiya za ulaya na kufungwa kwa milango ya misaada Tanzania....
 
Tanzania ni Mali ya Mungu na si ccm au cdm, tuweke siasa pembeni but long live lisu
 
Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Alafu Jumuiya ikashatutenga tutaishi kama mashetani na yeye atakuwa yupo njee.
Duh hali ya maisha itakuwa ngumu zaidi ya sasa
 
Back
Top Bottom