Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Huo mkutano umepata kibali cha Polisssm ????
 
N
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Ni nchi huru..
Lakini Nchi lazima iongozwe kwa kufuata Sheria Na taratibu ( na hasa Katiba) na sio kama huyu chi.zi anavyofanya..
Subirini Lissu awanyooshe Kimataifa.
 
Huyo Lisu hana athari yoyote kwa nchi kwani hata huko wanaelewa kipindi alichopitia ni kigumu hivyo dishi haliko sawa kwa sasa hivyo wanampuuza tu.
 
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Kwani kukutana na hao waheshimiwa ndio kufanya Siasa ?
Mbona mshaanza kupata degedege wandugu
 
Tanzania sio salama kuishi ukilinganisha na nchi gani? Mwanzo nilijisikia vibaya kwa uhuni alio fanyiwa na attempt ya kumuua iliyo shindwa, lakini huku anapo elekea siko. Huwezi kuwa unawaza kuisema nchi tena ugenini. Huko Ulaya au nchi zingine si kwamba hakuna madhaifu, lakini wakienda nje wanaeleza mazuri, madhaifu wanabanana humo kuyashughulikia. Hakuna nchi inaongoza kupigwa watu risasi hovyo kama US , lakini hutasikia CNN au vyombo vyao vingine vikitangaza hayo!!!! Tundu lissu ni janga, kama vipi aishie huko huko ahamie, huu ni uhaini, akirudi hapa atubu au amalizwe!!! Shabaash
US watu wanapigwa risasi na vikundi vya kihalifu.
Tofautisha na kwenu Mjomba
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Kaidhalikisha vp,mbona watoka povu Bi dada
 
Hivi nyie mnadhani kuna nchi ambayo mambo ni smooth tu kila kitu kinakwenda sawa? Kila nchi ina changamoto zake na solution siyo kujipendekeza ndekeza kwa wazungu. Kwanza hawana interest na hizo siasa zenu uchwara. Wanachoangalia wao ni uhusiano uliopo na wanapata nn kutokana na huo uhusiano. Hawana huruma ya aina hiyo kwa Lissu. Wao wana maslahi ya kudumu pekee..
 
Kama namuona vile atakavyotema points kwa ung'eng'e uliotulia hadi wazungu watakuna vichwa na kusema Nyerere amefufuka kupitia yeye
 
I wish sasa akiwa huko ulaya atapata exposure ya kutosha kuhusu mambo mbalimbali ya kimataifa.

Ili nchi ifikie kiwango cha kutajwa kama mahali ambapo si salama kuishi kuna vipimo vyake vilivyowekwa kimataifa. Tanzania hatukaribii kabisa hata kwa viwango vile vya kushawishi jumuiya hizo.

Tufanye kazi jamani, mkitegemea eti hao viongozi watakuwa na jipya kwa hayo Lissu atakayowaambia mtasubiri sana. Hata kule Myamar kuna mauwaji yanaendelea tena ya kutisha, lkn mpaka sasa umoja wa Mataifa unasua sua kuhusu hatua za kuchukua. Hapa kwetu ni kitu gani kimefanyika cha kuwashawishi hao ndugu kutuwekea vikwazo.

It is a wastage of time.
 
Hahaha mbona taarifa haijasema anakutananao kwasababu gani?! Labda wanataka kumjulia hali mgonjwa.
Mbona wawakilishi wa EU na hata balozi wa ubelgiji kawaacha Tanzania?! Mnaogopa nini mnaweza kuwafukuza hao EU humu nchini mkiona hawana msaada kwenu.
 
G'taxi nchi hii kuna wenye mawazo kama TL zaidi ya 6.0 m. Tufanyeje? T.L ni trumpet holder, nyuma yake wako Wengi. TUFANYEJE??
 
mTanzania anaeweza kumshangilia mtu aliye ulaya aau ndani ya nchi lakini anajaribu kuifedhehesha nchi yake na kuitafutia mabaya ni wa kuogopwa sana na yamkini kumtenga mbali na nchi yetu.angekua ni raia wa Korea angejuta.waTanzania wenye kuelewa tuwe makini sana na watu kama hawa,adui anaetaka kuiondoa amani ya nchi anaweza kutumia hata wananchi wenyewe wenye uroho wa pesa kuichafua nchi yao na kuahidiwa makazi huko ughaibuni,ilimladi tu watu wafanye biashara zao.mtu unaenda kubwabwaja maneno ya mji wako kwa jirani au nyumba ya saba toka kwako unalalamikia familia yako badala ya kukaa ndani mwenu msemezane mpaka muelewane,mtu gani wa namna hii fedhuri.
Haupo kwenye kundi unalotaka kujitanabahisha nalo,"watanzania waelewa".
 
Tanzania sio salama kuishi ukilinganisha na nchi gani? Mwanzo nilijisikia vibaya kwa uhuni alio fanyiwa na attempt ya kumuua iliyo shindwa, lakini huku anapo elekea siko. Huwezi kuwa unawaza kuisema nchi tena ugenini. Huko Ulaya au nchi zingine si kwamba hakuna madhaifu, lakini wakienda nje wanaeleza mazuri, madhaifu wanabanana humo kuyashughulikia. Hakuna nchi inaongoza kupigwa watu risasi hovyo kama US , lakini hutasikia CNN au vyombo vyao vingine vikitangaza hayo!!!! Tundu lissu ni janga, kama vipi aishie huko huko ahamie, huu ni uhaini, akirudi hapa atubu au amalizwe!!! Shabaash
Hii nchi si ya kwako wewe; utakufa uiache. Kama mnafanya uovu lazima muambiwe tu. Sasa kama mnaona Lissu si chochote hilo joto la nini.
 
Lisu alishasahaulika sasa hawa chagadema wanaleta huu uzi ili at least watu wamkumbuke kumjadili. EU hawana muda wa kuonana na Lisu atawasaidia nini?? EU sasa hivi wana mambo makubwa ya kujadili kama Brexit sio kuongea na hao waganga njaa wa ufipa ambao hata Diamond Platnumz kawashinda kwa kua na HQ nzuri ya WCB, wao na ruzuku ya more than 10 years bado wapo mtaani kwa mateja.2020 hawa hawatapata kura kabisa wabongo weshawashtukia wapigaji hawa.
Juzi mlipigiwa kura ngapi vile?
 
Lazima watamuelewa Tu Tundu lissu ni uwepo wake hai ni mpango wa mungu !!
 
Mtazamo na mawazo ya kitumwa!
Tumbo lako limekutoa ufahamu!! Watu wanateseka wewe unasemaje ni mawazo ya utumwa?! Wewe ni mawazo ya mchumia tumbo. Tangu lini mamba aone uchungu kwa viumbe wengine wa majini..
 
Huyu nyapala wa barabara hutakuja kwenda ulaya anaongea nini huyo ki---la----za asiyeweza kujiongeza hata sentence 1? Yeye visasi ndio analojua
 
Back
Top Bottom