Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Tetesi: Lissu kukutana na viongozi waandamizi wa Ulaya

Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Hao si wajomba wa wale wa makinikia!!!
 
Acha atukomboe tu kwa.sababu sioni.kizuri bongo siku hizi labda.madem wakali tu
 
Tundu Lisu awe chachu ya ukombozi
Chachu ya ukombozi haiwezi kuletwa toka Ulaya. Kama inaletwa basi itakuwa imebebwa kichwani kama furushi la nazi. Sijui itafika lini.

Ukombozi unaanza na sisi wenyewe kwa kutaka kwa dhati. Maendeleo yanakuja na sisi wenyewe kwa kutaka.
Tanzania ni kubwa kuliko individual yoyote. Katika harakati zetu tusisahau hilo
 
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa
Wewe ni mjinga wa Kimataifa. Ndio nyie Trump anawaita assholes!! Bahati nzuri mmebaki wachache, wengi wapo na Lissu.
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Haisaidii, mnapoteza muda wenu bure, miti yote inatereza; jipangeni kutoweka ktk siasa ili msiumie sana
Mliowakumbatia hawaweza kuwarejea maana wapo mahututi kiuchumi
 
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa
Lissu ana slavery mentality anafikiri mabwana zake watakuja kutulazimisha kufanya anayotaka msaliti Lissu!!
 
Tanzania sio salama kuishi ukilinganisha na nchi gani? Mwanzo nilijisikia vibaya kwa uhuni alio fanyiwa na attempt ya kumuua iliyo shindwa, lakini huku anapo elekea siko. Huwezi kuwa unawaza kuisema nchi tena ugenini. Huko Ulaya au nchi zingine si kwamba hakuna madhaifu, lakini wakienda nje wanaeleza mazuri, madhaifu wanabanana humo kuyashughulikia. Hakuna nchi inaongoza kupigwa watu risasi hovyo kama US , lakini hutasikia CNN au vyombo vyao vingine vikitangaza hayo!!!! Tundu lissu ni janga, kama vipi aishie huko huko ahamie, huu ni uhaini, akirudi hapa atubu au amalizwe!!! Shabaash
Good comments!!
 
Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Kwa wale wakristo, rejeeni kwenye biblia zenu. Ukristo uliingia Roma kwa kupitia Paulo.

Paulo alikamatwa huko Israel kwa kosa la kwenda kinyume na mafundisho ya imani ya Kiyahudi. Alifikishwa kwenye mahakama ya Wayahudi. Akahukumiwa kifo. Paulo akakata rufaa, akataka shauri lake lisikilizwe na mahakama ya juu ya Roma. Akapelekwa Roma. Njiani kuna mengi yalitokea lakini ni kwa kupitia hii hukumu ya Kifo kwa Paulo, ukristo uliingia Roma.

Ni kwa kupitia hukumu ya kifo aliyopewa TL kwenye mahakama ya ufichoni, maovu watendewayo Watanzania, ulimwengu wote utayajua. Kuna wakati nyuma ya ubaya na mateso, hupatikana faraja. Ushindi wa mtu mnyonge haupatikana kwa risasi bali kwa hekima ya Mungu.
 
Hata mtoto mdogo anajua kapigwa risasi. Bila kujali nani kampiga risasi,hoja ni kwamba je,tukio hilo ama na mengine yanayotajwa linatosha kuilinganisha Tz na SA? Suala la SA ya wakati wa Pic Botha na akina Vorster ilikuwa habari nyingine bw. Mdogo. Unakumbuka mauaji ya Sharperville kaka? Kama ndivyo ndo unalinganisha na tukio la Lissu?
 
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
Acha umandazi, yaani mtu kusema ukweli kuwa walitaka kumuua ni kuichafua nchi? Kama ndivyo mbona wasingedili naye kwa njia nyingine? Alafu watu hao hao wamegoma hawataki upelelezi wa kimataifa ufanyike, nadhani alipaswa awafuate walipo na siyo asubiri wamfuate yeye.
 
Atahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Mtu mwenye akili timamu hawezi fanya ayafanyayo TS na hata kusapoti! Matatizo ya nyumbani unayapeleka kwa jirani, si uhamie tu huko utuache na nyumba yetu!
 
Ccm mtaendelea kunyonga demokrasia mpaka lini? Lissu ni mkombozi wa Taifa.
 
Wewe unayejiita nyakubanga lazima ni yule aliyetaka kumuua. Tangu lini serikali ya America ikaua watu wake kwa ajili tu mtu amesema ukweli. Kwa hiyo unataka hata genocide ikifanyika hapa tuifiche mpaka watu wa upande moja waishe. Ndivyo unavyotaka wewe? Shame on you
 
Huyu mpuuzi Lissu kawa mwiba kwa nchi yetu, anaichafua kwa faida ya nani?
Hata kama kuna udhaifu ndani ya nyumba, ni uhayawani kuanza kubwabwaja mtaani. Akirudi wammiminie risasi hata 1000 hana faida kabisa
Hovyooooo
 
A good move, haijalishi watatusaidia au hawatatusaidia tunachotaka dunia ijue tu Tanzania kuna nini.
Go Lissu go, no turning back!
 
Back
Top Bottom