Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameshajua ndiyo maana wakaja na hili:Mhe. Tundu Lissu anatarajia kukutana na viongozi waandamizi wa ulaya siku tatu zijazo, viongozi hao ni Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Katibu Mkuu wa umoja wa ulaya pamoja na Spika wa bunge la ulaya.. NTAENDELEA KUWAJUZA
Yes, kama itaendelea kuonea watu wakeAtahakikisha jumuiya ya kimataifa inaitenga na kuisusa Tanzania
Kwa hiyo nchi ni bora kuliko roho ya mtu? Kwamba mtu auawe kwa vile nchi imesemwa? Mbona nchi ipo miaka yote? Isemwe isisemwe! Nafikiri roho ya mtu ni bora kuliko nchiSijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu
then we upate nini?Yes, kama itaendelea kuonea watu wake
Amini amini nakuambia, mwanaume anaye shindwa kumfikisha mkewe kilele cha raha anaiweka ndoa matatizoni, lakini mwanamke anaye amua kutangaza udhaifu huu mtaani anaua ndoa asubuhi SAA tatu.Mzee mizani unayotumia ni IPI? Hivi kati ya mtu anayeua watu na anayesema kuna mtu anayeua watu, yupi anadhalilisha nchi. Wacheni hizi fikra nyepesi
Vipi! Katika zile shitholes country imo tz?Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi huru...hili ni somo gumu sana kwa makarai
Kwa hiyo siasa za ndani zimewashinda mnategemea wazungu waiwekee vikwazo Tz na ninyi ndo mtokee hapo? Poor you..!Wazungu ni werevu na wana maslahi endelevu kwa nchi zao.Wale wanawasiliana na serikali kwa jambo lolote na usifikiri atakachotapila Lissu ndiyo kitakuwa final..thubutu..fanyeni kazi za kujiletea maendeleo na si kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke..
Naona kila napopita na wewe upo,hii ni mashine kubwa mapafu ya duma,utadata na kupoteza mdaAnakomboa nini? mtarukwa na kichaa
Mfano wako ni irrelevant, aibu hii ni ya anayeua na sio anayesema anauawa ama kuna watu wanauawa. Mahangaiko yenu mitandaoni ni ishara tosha ya namna mlivyotekenyeka na ukweli wa lissu. Bahati mbaya mlianza kuhangaika na kubana media za ndani mkifikiri mtakuwa salama, sasa mfungue na media za nje zinazoandika taarifa za lisuAmini amini nakuambia, mwanaume anaye shindwa kumfikisha mkewe kilele cha raha anaiweka ndoa matatizoni, lakini mwanamke anaye amua kutangaza udhaifu huu mtaani anaua ndoa asubuhi SAA tatu.
Tundu Lissu ni aibu ya taifa hili.
Sijasema Mimi nitakua hai, Mimi na wewe tutakufa , Tanzania itabaki. Huyu mpuuzi anaidhalilisha Tz nje ya mipaka yake, aondolewe tu